Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la Masheikh wa Uamsho ni Injustice ya hali ya juu sana. Rais Shein atakumbukwa kwa hilo daima..Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Yote uliyo yaandika hayato wezekana..Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Yote uliyo yaandika hayato wezekana
Time will tell.
Hakuna kitu hapo wala usihofu.....wasiwasi wangu ni kwamba uchaguzi wa 2025 utakuwa mbaya sawa na 2020 au hata kuzidi.
Hata huku bara mwenzie alianza na sarakasi kibao mara "agundue" mabehewa bandarini, mara bomba la kupitisha mafuta n.k. Lakini hoja ni "tija gani kiuchumi" inapatikana? Mbwembwe haziongezi chochote Hazina...Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Hakuna kitu hapo wala usihofu...
Upinzani ushajifia ...njaa mbaya...na watu wanaendesha mambo kwa mipango endelevu science ya siasa hiyo!
Na kama unaona mbali ujuwe Tz yote hakuna upinzani wa dhamira wengi ni pandikizi..watengeneza matukio ili wafaidike ...tumeona mengi...
Mzee Said nilipata kusoma mahala kwamba Bakari Harith Mwapachu ametutoka hivi majuzi.Ni kweli habari hizi? Nauliza kwa sababu sijapata kuona Taazia au lolote kumhusu zaidi ya ile dondoo ya kifo.Kunradhi naomba kujua kama kuna ukweli...Je, Dr.Mwinyi atawarejesha Znz Mashekhe wa Uamsho walioko kifungoni Znz?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume ya Ukweli na Maridhiano ili itegua kitendawili cha Waznz waliopotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola?
..Je, Dr.Mwinyi ataunda Tume huru ya Uchaguzi na kuendesha uchaguzi huru, na wa haki mwaka 2025?
Bali...Mzee Said nilipata kusoma mahala kwamba Bakari Harith Mwapachu ametutoka hivi majuzi.Ni kweli habari hizi? Nauliza kwa sababu sijapata kuona Taazia au lolote kumhusu zaidi ya ile dondoo ya kifo.Kunradhi naomba kujua kama kuna ukweli.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa kunijuza.Kama utaajaliwa shehe,utuwekee taazia yake.Asante.Bali...
Kweli amefariki.
Bali...Asante mkuu kwa kunijuza.Kama utaajaliwa shehe,utuwekee taazia yake.Asante.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mwinyi has been able to call two sides with differences together, to work with him who is very neutral by any standard. He has never been part of anything in the past. that includes his father...labda kwa Tanganyika.
..Znz walidhani wameua upinzani kwasababu hakukuwa na uchaguzi toka baada ya Mapinduzi mpaka 1995.
..walipoitisha uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM ikashindwa na CUF.
..Upinzani hauwezi kufa Znz.
Kinoa...Natamani utusimulie kwa ufupi kwann gazeti la rai liliuzwa kwa rostam . Natamani sana makala haya
This is a myth! Hussein is an insider and privy within Lumumba cohort.Mwinyi has been able to call two sides with differences together, to work with him who is very neutral by any standard. He has never been part of anything in the past. that includes his father.
By his approach I dare say Zanzibar will be a very different place. The problem with Zanzibar has been the two antagonistic parts that dont want to work together.
Wakianza kuendeleza Pemba kama Unguja, hatutawakamata. maana adui yako muombee njaa. Akishiba hutawezana naye
LGF,You want my take? Mr Mwinyi is a good principled man. He is his own man and he will do his own things in his own time as required by the law and what he considers are his priorities. Ni mtoto wa Mwinyi, yes, kwani wewe huna baba? Ni CCM, yes, ndiyo sheria nIinavyosema. UAMSHO hakuwafunga yeye, wala baba yake, wala Magufuli, walifungwa enzi za Kikwete kwa misingi ya kisheria kadiri alivyoona inafaa. Hawa ni magaidi, treatment yao si ya kawaida. Uamsho tangu amani nao walitoka Pemba huko huko walilipua Ubalozi wa Amerika enzi za George Bush na Ben Mkapa, wako gerezani Guantanamo mpaka leo. Baadaye wamehamia Kibiti Lindi ni Msumbiji, ni nani anataka watu waangwmizwe na magaidi? Mwacheni Rais atekeleze Ilani za Chama chake. CUF na CHADEMA na tundulissu waliahidi kuwa wangewaachia Uamsho mara moja, mbona kura kazikutosha? Jibu ni kwamba Uamsho si priority ya wapigakura hivi sasa, quite to the contrary!