Siku 100 Za Dr. Hussein Ali Mwinyi madarakani

Sheikh Mohamed Said: nasikitika kusema kuwa unaishi maisha ya zama za Abdulwaheed Sykes, if you can forgive the analaogy. Waislam wa leo siyo hawo unaowasema. Wa leo wanajitambua, ni matajiri. Angalia data za DSE na BoT: waislamu ni 49% ya Watanzania wanamiliki 80% ya uchumi wa nchi. Nenda UDSM, nenda IFM yako, utakuwa walimu hadi wanafunzi alfu kwa maalfu wote wamevaa hijab, kwa staha na heshima.

Unahesabu Wabunge: wabunge huchaguliwa na wapiga kura - kama wabunge Wapagani ni wengi basi ujue Wapagani nchini ni wengi; kama Wasabato ni wachache ujue wasabato ni wachache. Lakini angalia makampuni makubwa makubwa, angalia Yanga, angalua Simba, angalia Azam, angalia Arsenal: kweli unafikiri hawo ni watu wa kuonewa! Mie bacheza chess- bingwa wetu ni Mwislam na timu bora iko Darahani Zanzivar. My friend, where do you live? Ugaidi ni ugaidi ni ugaidi, hauhusiani na Dini - magaidi kwa sababu zao wenyewe hujivika kanzu la dinim si kweli.

Umetaja ushahidi "wa mahakamani", umesahau gaidi si sawa na pickpocket au prostitute ambaye ukishamkaba anaogopa, gaidi yuko trained, psyched, kufa haogopi afe na "makaffir" as many as possible. Pickpocket hilo hana, ataomba msahama na hatorudia. Kumbuka yule Mpemba wa US Embassy Kinondoni yuko Guantanamo mpaka leo, hakuna ushahidi kwa vile shahidi alishakufa au atakufa akijitokeza.

Unakumbuka Kibiti Lindi magazeti ya Kenya yakitoa breaking news kila siku anapokufa polisi au kada wa CCM, si CUF wala Chadema hawaguswi? Yule mwandishi wa magazeti ya Kenya waliona atatoa siri zao ndipo Magaidi wakamficha hadi leo. Halafu ni Mnyika nadhani au Peter Msigwa akasema "CCM wamejitakia wenyewe". Wgere are they now? Voters wamewakataa. I repeat : ugaidi ni ugaidi ni ugaidi; kama lazima uwe na shahidi basi bora usiwe na shahidi kabisa kwa sababu wanakuwa wamekufa.

Ila hilo la Waislamu kuonewa wachana nalo, njoo Stock Exchange au TISS ya Benki Kuu au commodities markets za Chicago: Waislamu tupu. Teba kwa haki bin haki na entrepreneurial acumen. Kinachosubiriwa Tanzania sasa ni Islamic Finance, long overdue. Ni nyie mliosoma IFM ndiyo mngetuongoza kwa hili.

Wasalaam wabarakatur!!

LGF
 
Remote ya hayo yote ipo BARA, either magogoni au Chamwino, Mwinyi hana uwezo wa ku press any button regarding the issue brought here
 
..labda kwa Tanganyika.

..Znz walidhani wameua upinzani kwasababu hakukuwa na uchaguzi toka baada ya Mapinduzi mpaka 1995.

..walipoitisha uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM ikashindwa na CUF.

..Upinzani hauwezi kufa Znz.
Utabaki mioyoni...kama ilivyokuwa kipindi..maalim Seif anahamia..ACT...
Wapinzani wapo ila... ..uongozi... na pandikizi pia vipo.. .

Mwenye chama kaondoka ...ukweli ndo huo.. .na njaa ni mbaya..





Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…