Sheikh Mohamed Said: nasikitika kusema kuwa unaishi maisha ya zama za Abdulwaheed Sykes, if you can forgive the analaogy. Waislam wa leo siyo hawo unaowasema. Wa leo wanajitambua, ni matajiri. Angalia data za DSE na BoT: waislamu ni 49% ya Watanzania wanamiliki 80% ya uchumi wa nchi. Nenda UDSM, nenda IFM yako, utakuwa walimu hadi wanafunzi alfu kwa maalfu wote wamevaa hijab, kwa staha na heshima.LGF,
Nimesoma jibu lako kuhusu Rais Mwinyi lakini mimi nataka nichangie kwenye suala la ugaidi peke yake.
Mwaka wa 2006 niliwasilisha mada ''Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience: "Islam, Terrorism and African Development.''
Nimeeleza katika mada hiyo kuwa suala lolote nchini petu likihusishwa na Uislam na Waislam tayari patakuwa na matatizo.
Uislam nchini petu ni suala nyeti sana na hili tatizo linakua kila miaka inavyozidi kusonga mbele kwa jinsi Waislam wanavyowekwa nje ya serikali na vyombo vyote vya maamuzi hivyo wao kuwa wachache katika uendeshaji wa nchi.
Hili limewaathiri sana Waislam.
Huu uchache ni katika kila kitu kuanzia nafasi za elimu katika vyuo vikuu hadi ndani ya serikali yenyewe na Bunge.
Uchache huu wa Waislam ndani ya Bunge ndiyo uliwezesha Sheria ya Ugaidi kupita kirahisi.
Kuna walioona kuwa hii ni njia moja ya kuzidi kuudhibiti Uislam nchini.
Vipengele vingi vya sheria hii ni vya uonevu na dhulma kubwa.
Hadi hii leo mahakama Tanzania haijaweza kumtia hatiani mtu yoyote kwa kosa la ugaidi.
Kuhusu hilo suala la Rufiji na Kibiti laiti kesi za watuhumiwa wa ugaidi hao zingekwenda mahakamani tungenufaika na mengi na kubwa ni kule kuwatambua hao ''magaidi'' na kusikiliza utetezi wao kuhusu shutuma hizo.
Uamsho si magaidi na hadi leo mwaka wa nane upande wa mashtaka hawajaweza kuleta mahakamani ushahidi wa tuhuma hii.
Hii nini maana yake?
Maana yake ni kuwa vyombo vya sheria vimekamata kwa ushahidi wa ''hearsay.''
Kwa kukosa ushahidi wa kuwa masheikh hawa ni magaidi ndiyo hadi leo kesi mwaka wa nane haijazungumzwa.
Masheikh wamewekwa rumande kinyume cha sheria.
Hili ndilo alilosema Nguruvi3.
Unahesabu Wabunge: wabunge huchaguliwa na wapiga kura - kama wabunge Wapagani ni wengi basi ujue Wapagani nchini ni wengi; kama Wasabato ni wachache ujue wasabato ni wachache. Lakini angalia makampuni makubwa makubwa, angalia Yanga, angalua Simba, angalia Azam, angalia Arsenal: kweli unafikiri hawo ni watu wa kuonewa! Mie bacheza chess- bingwa wetu ni Mwislam na timu bora iko Darahani Zanzivar. My friend, where do you live? Ugaidi ni ugaidi ni ugaidi, hauhusiani na Dini - magaidi kwa sababu zao wenyewe hujivika kanzu la dinim si kweli.
Umetaja ushahidi "wa mahakamani", umesahau gaidi si sawa na pickpocket au prostitute ambaye ukishamkaba anaogopa, gaidi yuko trained, psyched, kufa haogopi afe na "makaffir" as many as possible. Pickpocket hilo hana, ataomba msahama na hatorudia. Kumbuka yule Mpemba wa US Embassy Kinondoni yuko Guantanamo mpaka leo, hakuna ushahidi kwa vile shahidi alishakufa au atakufa akijitokeza.
Unakumbuka Kibiti Lindi magazeti ya Kenya yakitoa breaking news kila siku anapokufa polisi au kada wa CCM, si CUF wala Chadema hawaguswi? Yule mwandishi wa magazeti ya Kenya waliona atatoa siri zao ndipo Magaidi wakamficha hadi leo. Halafu ni Mnyika nadhani au Peter Msigwa akasema "CCM wamejitakia wenyewe". Wgere are they now? Voters wamewakataa. I repeat : ugaidi ni ugaidi ni ugaidi; kama lazima uwe na shahidi basi bora usiwe na shahidi kabisa kwa sababu wanakuwa wamekufa.
Ila hilo la Waislamu kuonewa wachana nalo, njoo Stock Exchange au TISS ya Benki Kuu au commodities markets za Chicago: Waislamu tupu. Teba kwa haki bin haki na entrepreneurial acumen. Kinachosubiriwa Tanzania sasa ni Islamic Finance, long overdue. Ni nyie mliosoma IFM ndiyo mngetuongoza kwa hili.
Wasalaam wabarakatur!!
LGF