Siku 100 za Rais Samia ndani ya ofisi

Siku 100 za Rais Samia ndani ya ofisi

astranaut

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,276
Reaction score
1,024
Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe.

Bila shaka katika kuelekea siku 100 kwenye madaraka mh rais ameamua kutangaza mkeka wake wa madc ili tujikite kuujadili badala ya kudiscuss utendaji wake ndani ya Siku 100.

Kwanini kafanya hivyo?
 
Mimi nawaza tu iwapo 2025 ataingia kwenye kinyang'inyiro cha kugombea, au atastaafu siasa!

Na kama atagombea, je atafuata njia ya mtangulizi wake ya kulazimisha matokeo, au ataheshimu maamuzi ya wapiga kura? Vipi ameshaanza kujiandaa kwa fitna za ndani na nje ya chama?
 
Kuhusu hayo wala usiwe na shaka hao anaowateua ndio watakao mpigia chapuo+media zote na wanahabari kuanzia sasa itakua ni mwendo wa kusifia tu aidha ili zisamehewe Kodi na masharti mengine ya kiuchumi+wanahabari nao ili wapate teuzi
 
Na kama atagombea, je atafuata njia ya mtangulizi wake ya kulazimisha matokeo, au ataheshimu maamuzi ya wapiga kura? Vipi ameshaanza kujiandaa kwa fitna za ndani na nje ya chama?
Atagombea. Na ameshaanza kujiandaa. Fitina za mtangulizi wake zitakuwa pale pale, japo yeye atapunguza kidogo. Nitafungua uzi kuelezea zaidi.
 
Wewe na ubwabwa hamna tofauti. 2025 kinakuja chuma kipya kutoka ^Ujeremani!!!^ Bi Mkubwa arudi tu kwao Pembani
 
Mimi nawaza tu iwapo 2025 ataingia kwenye kinyang'inyiro cha kugombea, au atastaafu siasa!

Na kama atagombea, je atafuata njia ya mtangulizi wake ya kulazimisha matokeo, au ataheshimu maamuzi ya wapiga kura? Vipi ameshaanza kujiandaa kwa fitna za ndani na nje ya chama?
Mama achomoki angekuwa anasikiliza ushauri angeanza kuandaa mtu makini wa kumuachia nchi awe kutoka upinzani au ndani ya ccm

Ila akija kufanya kama aliyofanya kikwete dakika za mwisho ndio tutakuja kushuhudia viongozi kama Jiwe, makonda na sabaya wakirudi ulingoni tena
 
Fomu ya kuomba kugombea urais ndani ya ccm itaandaliwa moja tu kama enzi za mwendazake.
Hana ubavu wowote wa kusimama 2025 hata angeachiwa tu kwa huruma. Huo ndio ukweli mchungu ambao vifaranga wa Bi Mkubwa hawataki kuambiwa wala kuusikia.
 
Wewe na ubwabwa hamna tofauti. 2025 kinakuja chuma kipya kutoka ^Ujeremani!!!^ Bi Mkubwa arudi tu kwao Pembani
Chuki zako kwa mama na mfumo dume utakuua wallah!

Kila post yako ni kujishebedua tu. Naona hata madaraka ya raisi wa JMT huyajui. Hivi kuna wa kumzuia mama kuwa raisi 2025 kwa katiba hii? Over my dead body.
 
Hili la kuteua wasanii, watangazaji na wanamitindo kuwa ma DC limenisikitisha mno.

Hivi kweli kabisa tunataka kumkomboa mtanzania kwa kutumia watu wenye background za Aina hii??

Wazee wa Chama Changu CCM mko wapi??

Tunakwenda wapi kama chama na Taifa??
 
Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe.

Bila shaka Jana tarehe 19 ndo zilkua zinatimia hivyo ili kuzima mjadala ameamua kutangaza mkeka wake wa madc ili tujikite kuujadili badala ya kudiscuss utendaji wake ndani ya Siku 100.

Kwanini kafanya hivyo?
Jana ni siku 100 au 90?
 
Hili la kuteua wasanii, watangazaji na wanamitindo kuwa ma DC limenisikitisha mno.

Hivi kweli kabisa tunataka kumkomboa mtanzania kwa kutumia watu wenye background za Aina hii??

Wazee wa Chama Changu CCM mko wapi??

Tunakwenda wapi kama chama na Taifa??
Kwani wame anza kuteuliwa awamu hii?
 
Hana ubavu wowote wa kusimama 2025 hata angeachiwa tu kwa huruma. Huo ndio ukweli mchungu ambao vifaranga wa Bi Mkubwa hawataki kuambiwa wala kuusikia.
Nikudokeze tu kidogo. Kwenye chama Sasa ameweka watu wake. Aliwatoa Bashiru na Polepole kwa kuwapa ubunge, jana amewatoa Heri James na katibu wake kwa kuwapa uDC.
 
Kwa kifupi tu bado kwenye vyombo vya dola, na jeshi
 
Mbona hukusema hivyo kwa Jojo?

Back
Top Bottom