Mkuu mbona unatoka povu sana! Rais alisema "dereva wa gari" na gari linaweza kuwa lori!! Hoja ya nchi kuwa lori ameanzisha rais wako...nenda kamwambie rais kwamba nchi sio lori na sio kumtolea mleta mada povu!!!Yaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Yaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Broo mbona Nchi kuiita Lori si mimi... Bali ni mkuu mwenyewe alisema anaendesha Lori na hasikilizi abiria.. Kama kudhihaki basi mkuu kaanza kutudhihaki.. Na kama ni ujinga Basi mkuu ndo kubwa la majinga... Inaelekea ulikuwa nje ya nchi ndo umerud hujui kinachoendelea... Basi kwa taarifa yako upo kwenye lori... VYaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Umechemsha .... Data mfu.Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12.
Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion 100 million kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Source BBC:
Kaswali ka kizushi :
Mwaka na nusu wa Dereva wa lori letu.. Uchumi umepanda kiasi gani ?
Ameidhinisha kiasi gani kujenga viwanda ?
Anaejua lori linaelekea wapi na paka sasa limefika wapi aniambie.
Huo mwendokasi umekusaidia nini mpaka sasa??mbona hizo pesa ni ndogo kuliko tulizotumia kujengea mradi wa mwendokasi
Hili swali wakati unaliandika hapa ulishirikisha ubongo wako au ulitumia makalio yako Kufikiri?Huo mwendokasi umekusaidia nini mpaka sasa??
umeniongezea upepo wa pesaHuo mwendokasi umekusaidia nini mpaka sasa??
Nilitumia ulichotumia wewe kufikiri! Je ulitumia makalio kufikiri?? Au brain??Hili swali wakati unaliandika hapa ulishirikisha ubongo wako au ulitumia makalio yako Kufikiri?
That's good!umeniongezea upepo wa pesa
Hajui pesa ya Ghana ilivyo na nguvu katika kubadilisha karibu na dollar ya marekaniBro convert it into Tz money then comment
mkuu usipoteze sana nguvu mana hawa watoto ndio wanamalizia likizo ya sikukuu subir warudi shule tuHili swali wakati unaliandika hapa ulishirikisha ubongo wako au ulitumia makalio yako Kufikiri?
Mkuu wa nchi ndo anatuita Roli..au ujui na wewe ni abiria wa RoliYaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!