Yaani nchi yako unaiita lori??..unadhani ni sifa sana kudhihaki nchi yako na kusifia ya wenzako??..kwa huo mtazamo wako wa kijinga tu inatosha kukupuuza...baki na ujjinga wako!!
Mbona Rais yeye Kajiita ndo Suka wa Roli sasa hapo roli ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.