Siku 14 zimeisha, ni yepi majibu au mapendekezo ya tume?

Siku 14 zimeisha, ni yepi majibu au mapendekezo ya tume?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Kama sijakosea 14 days zimeisha ni yepi majibu ya tume iliyoundwa kuhusu wafanyabiashara na tra?
 
Tume za yule bwana? We ulisikia wapi? 😅

Tume gani za huyo bwana ziliwahi kuja na majibu ya chochote nchi hii? Hata mimi nashangaa kwanini kuna watu wanaamini bwana yule ni kiongozi wa maana, WaTz ni watu waajabu sana, wanaweza kumpenda kiongozi just kwa namna anavyoongea tu au muonekano wake wa nje.

Anyways… Labda watu wapush ndio hayo majibu yatakuja, otherwise muwe na siku njema 🤣
 
Tunataka majibu ili tufanye biashara kwa amani, hivi mnajua kama saa hii tunauza na risiti hatutoi?
 
Back
Top Bottom