Tume za yule bwana? We ulisikia wapi? 😅
Tume gani za huyo bwana ziliwahi kuja na majibu ya chochote nchi hii? Hata mimi nashangaa kwanini kuna watu wanaamini bwana yule ni kiongozi wa maana, WaTz ni watu waajabu sana, wanaweza kumpenda kiongozi just kwa namna anavyoongea tu au muonekano wake wa nje.
Anyways… Labda watu wapush ndio hayo majibu yatakuja, otherwise muwe na siku njema 🤣