Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Unakosea Sana mkuu
 
Pesa natafuta Sana mkuu,
Ila siwezKw kukuficha, napenda Sana kufanya mapenzi
 
Fanya mazoezi kila siku, punguza kupeleka moto nadhani hyo itasaidia mkuu.
 
Ti

Tigo Tanzania inae kilele .. labda pale makao makuu yao.

Hicho kilele ambacho hukufika kilikua Mlima Klm,Meru ,Oldonyo Lengai ,Usagara au mount Elgon...
Kumbe HUJANIELEWA,
Kufika Kileleni namaanisha kufika mshindo baada ya kufanya mapenzi, yaani kumwaga mbegu (shahawa).
 
Wewe ni agent wa ngono na uzinzi, jitihada zako na zitakufaidisha siku moja.Endelea
Huo uagent umeanza lini mkuu?
Kanipa Nani huo uteuzi?

Jikite Basi kwenye mada,
sio kila MDA Ni masihara mkuu
 
Lishe duni.
 
Pole sana ndio nasikia kwa mara ya kwanza hali hiyo, Ila nimetamani hiyo hali niwe nayo Mimi maana opposite yake ndio tatizo kubwa linalosumbua wanaume wengi
Hata sio ya kutamani mkuu,
Hi Kitu inaniumiza Sana sasahv mkuu
 
Nje kidogo mkuu sijui una uraibu wa ngono ama ni high libido?
Nna swali hapohapo hivi unaweza kuwa bize na mishughuli na hapa na pale afu ukangonoka kiasi hicho
Kwa kesi yako kiukweli nenda kwa daktari haraka hiyo siyo salama unaweza kata moto hivihivi unaona
Pia mkuu kama unayarisk sana maisha yako yaani ngono kwako imekuwa sio starehe tena bali utumwa,unahitaji kujitafakari otherwise unatafuta kifo kwa lazima
 
Mwanzoni nilimchukulia kawaida,
ila ninakoelekea hili Tatizo linanitesa sana
 
Uzinzi ni dhambi mshahara wake ni hayo yakupatayo, tubu Mungu husamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…