Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Inabidi wanaume waelimishwe kuwa kufanya mapenzi yanayohusisha penetration halafu ukawa huwezi kufika kileleni ni upungufu wa nguvu za kiume, sijui nani aliidanganya jamii kuwa kuwa kuwahi kileleni pekee ni upungufu wa nguvu za kiume, hasha! hata kuchelewa sana ni upungufu wa nguvu za kiume.

Asiyekuwa na upungufu wa nguvu za kiume ni yule anayefika kileleni kwa muda sahihi (kitaalamu) au anayeweza kukichelewesha kilele (kuhold) kwa sababu anazozijua yeye, lakini akili yake ikimwambia afike anafika.

Mi ninachoona hapa ni pengine una athari za kuangalia porno, hivyo waone wanasaikolojia wakusaidie, Kila la heri.
Maana ake huenda likawa Ni tatizo la kisaikolojia zaidi?
 
KINGINE,
[emoji117]Sio kwamba hivi karibuni ndo nmeanza kufanya mapenzi mfulurizo, bali huwa nafanya mapenz sana kila mara nnapopata muda, ila haiwezi kupita zaidi ya siku 2 sijafanya mapenzi. Siku 3 na zaidi kupita sijafanya mapenzi labda Itokee dharula kubwa Sana Kama safari,migogoro ya kimahusiano n.k. Napo Ni nadra Sana.
[emoji117]Hii Hali ya kubana mbegu zisitoke nmekua naifanya kila Mara nnapohisi mwenza wangu Yuko siku za hatar kuepusha kummwagia kumpa mimba.
Hofu yangu Ni kwamba hali Hii isije kua imeuathiri moja kwa moja mwili wangu mbegu zisitoke kabisa au ni kwamba mbegu uko chini ndo Sasa hivi zimeisha?[emoji848]
[emoji117]Hali hii niliyonayo Sasa ni nikiingiwa tu na hamu ya mapenz,uume unasimama HARAKA Sana na unakazamisuli mpk unaniuma sana. NAFUU yake labda nipate mkojo wa kawaida nikakojoe ndo ilale au Nikafanye mapenzi
[emoji117]Hivi Sasa Nna maumivu makali kiunoni, miguuni na mabegani. Bado makovu mabichi ya kwenye viwiko na ulimi kujing'ata kutokana na kufanya mapenzi mfulurizo.

Kiufupi mwili wote sasa umechoka,
ila Sasa nnapokua na hamu ya kufanya, uchovu wote sehem nyingine unakua Hauna Tena maana kwangu.

Na maumivu yote yanaamia kwenye uume tu na najikuta narudi kule kule kwenye kufanya Ili angalau niisugue Sana nipate nafuu au ninywe maji mengi nilazimishe nipate mkojo wa kawaida nikakojoe ndo ilale.
Hutaishi maisha marefu, umewekeza akili down sana
 
Kaka mkubwa ipo hivi, unaweza kua na u.t.i... matumizi ya pombe kupita kiasi,.... Stress pia zinapelekea hvo...... Kitu kingine lbd una tatizo la mbegu kuingia kweny kibofu badala ya kutoka nje....... Jitahid ubaki na mchepuko mmja tu.... Sidhan kama unaelekea pazuri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kifo hakina guarantee ndugu,
Hata yule aliyepiga pushapu majukwaani alifariki na kumuacha yule aliedhani angefia ikulu. Uhai anapanga mola.
 
Kaka mkubwa ipo hivi, unaweza kua na u.t.i... matumizi ya pombe kupita kiasi,.... Stress pia zinapelekea hvo...... Kitu kingine lbd una tatizo la mbegu kuingia kweny kibofu badala ya kutoka nje....... Jitahid ubaki na mchepuko mmja tu.... Sidhan kama unaelekea pazuri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sijawahi kuugua ugonjwa wowote wa zinaa Wala UTI zaidi ya miaka 40 imepita Sasa tangu nmezaliwa mkuu
 
Inabidi wanaume waelimishwe kuwa kufanya mapenzi yanayohusisha penetration halafu ukawa huwezi kufika kileleni ni upungufu wa nguvu za kiume, sijui nani aliidanganya jamii kuwa kuwa kuwahi kileleni pekee ni upungufu wa nguvu za kiume, hasha! hata kuchelewa sana ni upungufu wa nguvu za kiume.

Asiyekuwa na upungufu wa nguvu za kiume ni yule anayefika kileleni kwa muda sahihi (kitaalamu) au anayeweza kukichelewesha kilele (kuhold) kwa sababu anazozijua yeye, lakini akili yake ikimwambia afike anafika.

Mi ninachoona hapa ni pengine una athari za kuangalia porno, hivyo waone wanasaikolojia wakusaidie, Kila la heri.
Hilo la kuchelewesha kuhold nmekua nikifanya Mara kwa Mara Kisha nikiamua NAKOJOA vizur tu,
ila Sasa imefikia hatua nahitaji kukojoa mwenyewe kwa hiari yangu bado inashindikana.
 
Pengine ndio athari zimeanza.
 
Inabidi utumie sea food Sana kuanzia saizi, pia kama una nafasi Kuna samaki anaitwa sea horse (farasi wa baharini)huyo pichani anasaidia kutibu magonjwa ya Maumivu ya mwili,uchovu,mgongo. Unaweza ukawa unamloweka kwenye juisi,maji,chai,supu au pombe Kisha unakunywa asubuhi na jioni. Unaweza mtumia hata mwaka au ukakata vipande ukamla. Huyo samaki anatumiwa Sana na wachina (Chinese herbs). Dar ukienda kivukoni pale ferry unaweza kumpata ingawa anavuliwa bahari kuu maeneo ya Kilwa au Mafia Bei kuanzia 15000 mpaka 20,000 Kwa mmoja yupo Sawa na kidole Cha mkono.

IMG_20211129_135442804.jpg

Angalizo Kuna wafilipino walikuwa Bongo wakawa wanamtumia huyo kwenye pombe wao wanasema wanapata hamasa zaidi kama Yako kufanya kazi za kibailojia.
 
😂😂mwana lijali ila mkuu hongera sana ubalikiwe unawakilisha wana ila ningependa kujua ni wa dar au mikoan
 
Duh mkuu pole sana asee....

ishu yako inaweza kusababishwa na hali inaitwa

hyponadism-ni ile hali ambayo korodani inashindwa kuzalisha homoni muhimu ya testosterone so inapelekea kutozalishwa kwa mbegu za kiume na pia kupungua kwa hisia wakati wa tendo.

Pia magonjwa ambayo yanayoathiri tezi dume mfano prostate cancer,magonjwa haya huwa na tabia ya kukata mawasiliano kati ya ubongo na viungo vya uzazi.

Uchovu pia huenda ikawa sababu bila kusahau magonjwa yanayoathiri mfumo wa fahamu kama sukari,kiharusi na shinikizo la damu

Ushauri wangu nenda tu hospital tena wala usichelewe mkuu tatizo lisije kuwa kubwa.
 
Inabidi utumie sea food Sana kuanzia saizi, pia kama una nafasi Kuna samaki anaitwa sea horse (farasi wa baharini)huyo pichani anasaidia kutibu magonjwa ya Maumivu ya mwili,uchovu,mgongo. Unaweza ukawa unamloweka kwenye juisi,maji,chai,supu au pombe Kisha unakunywa asubuhi na jioni. Unaweza mtumia hata mwaka au ukakata vipande ukamla. Huyo samaki anatumiwa Sana na wachina (Chinese herbs). Dar ukienda kivukoni pale ferry unaweza kumpata ingawa anavuliwa bahari kuu maeneo ya Kilwa au Mafia Bei kuanzia 15000 mpaka 20,000 Kwa mmoja yupo Sawa na kidole Cha mkono.

View attachment 2192408
Angalizo Kuna wafilipino walikuwa Bongo wakawa wanamtumia huyo kwenye pombe wao wanasema wanapata hamasa zaidi kama Yako kufanya kazi za kibailojia.
Shukran Sana mkuu,
Kesho ntajaribu kufika feri kumuulizia, sijajua kibongo bongo anaitwaje
 
Back
Top Bottom