Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

naona mkuu unaona fahari na majisifu kuzini ovyo tena nje ya ndoa alafu unatushirikisha sisi uzinifu wako wakati dhambi hiyo ilikuwa siri yako na mungu wako na bado unataka tukuunge mkono uzinzi wako nje ya ndoa halali yenye watoto kabisa sidhani kama unajua uzito wa hayo uyafanyayo
Yaani mtu ana michepuko zaidi ya moja na ni mume wa ntu na bado ananunua makahaba, nadhani anastahili kupata alichokipata. Huu ni ulimbukeni ulio tukuka
 
Mkuu, kipindi cha nyuma uliwahi tumia viagra, alkasusi mujarabu au mkongo wa majimaji? Tuanzie hapo! Huenda nikakusaidia njia za kutatua tatizo?
Ndio mkuu,
Ila Ni Zamani Sana,
Kipind ndo zimeingia,
Ni Zaid ya miaka 10 ilopita
Nako Nilitumia Mara 3 TU nikaachana nalo maana Hakuna niluchofaidi Zaid ya ganzi na maumivu
 
Mkuu hapo hakuna ugonjwa wala nini hebu pumzisha mwili huo, kwa spidi yako ulizotoka kusimulia nilijua tu utafikia huku mwenyewe ilishanitokeaga ila nikipumzika tu pamoja na kula mbegu za maboga ndipo nikarudi ulingoni
Nayo Hii ntaijaribu mkuu,
Zilikua mbegu za mboga gan ulitumia?
 
Yaani mtu ana michepuko zaidi ya moja na ni mume wa ntu na bado ananunua makahaba, nadhani anastahili kupata alichokipata. Huu ni ulimbukeni ulio tukuka
Sio vizur kulaumiana mkuu
 
Ni siku ya 16 sasa hamu ya mapenzi iko juu San Imenifanya nmefuluriza nafanya mapenzi sana kila siku iendayo kwa MUNGU Kuanzia tarehe 02 april mpaka leo hii tarehe 18april

Kinachonisikitisha zaid, ni siku ya 8 Sasa (tangu tarehe 10 April) natamani sana nifike kileleni ila nmejaribu kila njia ila imeshindika KABISA. Na hivi Sasa napata maumivu makali Sana pale nnapopatwa na hamu ya kufanya mapenzi au nnapoamka usingizi uume umesimama.

Ilianza hivi,
Baada ya migogoro ya kila Mara na Mchepuko wangu MamaJ kusababisha kuninunia kila Mara na kulikosa tendo, Nguvu zote nikaelekeza kwa Mchepuko mwingine ROSE na kwenda kumpangia chumba Cha kujitegemea ili niiendelee kupata tendo Kama kawaida.

Tarehe 02 April ndo tulianza rasmi kufanyia mapenz kwenye ayo makazi yake mapya. Na kutokana na uvivu wake. kipind chote hicho Tunafanya kila siku mpaka inafika tarehe 5 nilikua sifiki kabisa kileleni nikifanya nae, ila nilikua naenda kumalizia kwa MAMAj uko ndo nilikua nikifika natua kabisa mzigo wangu wote ndani maana alikua siku salama za kutokushika mimba.

Ilipofika tarehe 6 tukaingia migogoro Tena na mamaJ baada ya kununua kahaba mbele yake (nilishaleta hapa kisa chake).

Mgogoro huo ulipelekea tukakata mawasiliano kwa siku 3 na kwenye tendo nikaendelea kumtegemea ROSE pekee ambae alikua hanifikishi kileleni kabisa mpk tarehe 9 nilipoishiwa uvumilivu na kuamua kuumaliza mgogoro wangu na mamaJ ili angalau nikafanye nae nikojoe nipumue.

Na kweli siku iyo tarehe 9 nilikwenda kuutua mzigo wangu wote wa siku 3 kwake ambazo nilikua sijakojoa kabisa. Ila Sasa utaratibu ukaendelea vile vile nikawa naanzia kwa rose, afu namalizia kwa mama J.

Ilipofika tarehe 10 April nmetoka kwa Rose nmefanya imeshindika kufika, nmekuja kwa mamaJ nimalizie nifike kileleni nako ikashindikana maana mamaJ alikua kaingia hedhi. Hivyo ikanilazimu nilale tena bila kufika kileleni.

Sasa ikanibidi kesho yake nirudi tena kumtegemea ROSE pekee, Nako nikajitahidi Sana ila alikua anachoka haraka na kukaukiwa utelezi mapema mno na ikashindikana tena kufika kileleni.

Nikiwa nasubiri angalau mamaJ kwenye tarehe 13 au 14 angemaliza hedhi yake ili nikafanye nae nipate unafuu nifike kileleni. Tarehe 12 tukaingia tena kwenye mgogoro mwingine, kaninunia kisa nmemnyang'anya gari niliyompatia awe anatumia kwenye mizunguko yake.

Kiufupi iyo Gari niliachiwa na rafk yangu mmoja alienda kuuguza nje ya nchi tangu mwanzoni mwa mwez February, aliniachia kwa usalama na pia iwe inaendeshwa hana uhakika angerudi lini. Ndo nikampa mamaJ aitumie. Sasa jamaa akamtuma dada yake aje Kwangu aichukue, baada ya kuwasiliana na mamaj na kunambia Yuko kwake, nikamwambia Kuna mtu anakuja kuichukua iyo Gari akasema sawa.

Nikamwekeza boda amfikishe uyo Binti kwa mamaJ ili aichukue iyo gari yao.Nikapigiwa kwamba MamaJ kagoma kutoa funguo za gari akimtuhumu binti Ni hawala yangu na kashfa nyingine nyingi. Ikabd niende mwnyw Nmefika pale Kazidisha mdomo ikabd kumzaba makofi maana alikua ananidhalilisha,funguo nmeichukua kwa nguvu na gari nmeitoa mwenyewe nje ya geti lake na kumkabidhi binti aondoke nayo.

Baada ya huo ugomvi mkubwa, kanuna nami tukawa hatuongeleshani na hanipi Tena tendo na ikanifanya tena niendelee tena kumtegemea rose pekee ambae pumzi Hana ambapo tuliendelea ivo kufanya ili mradi tu ila nikawa sifiki kileleni.

Hali iyo imeenda mpk tarehe 14 asbh mapema ya saa 1 ambapo nililazimika kuamkia kwa mamaJ ili kumaliza tofauti zetu ili angalau nikojoe kimoja nipumue. Kweli nmekuta nae kumbe kanimiss, Tumeelewana yameisha na wote hatujaenda KAZIni siku iyo.
Tumeshinda siku nzima tunafanya mapenzi wore hamu ziko juu sana.

Chakushangaza mpaka naondoka pale saa 2 usiku sikufika kileleni kabisa hata Mara 1, huku mwenzangu mamaJ akiwa yeye amefika mara nyingi zaid hazina hata idadi na amekaukiwa Ute na kuchoka kabisa. Kabana kabisa mapaja yake na kunisukumiza kule hataki Tena kuendelea kufanya.

Nmetoka pale uume unaniuma sana.
Kuangalia mda saa 2 usiku,bado Ni mapema Sana mimi kurud nyumban.
Ikabd niende kwa Rose nione Kama ntafika kileleni maana leo nmeanzia kwa mamaJ.

Nmefika saa 3 na nusu hivi usiku na tumefanya MDA mfupi TU mpk kwenye saa 5 mwenzangu keshachoka Yuko hoi taabani analalamika nimemfululiza mno kila siku namfanya viungo vyote vinamuuma. Nikiachana nae ikabd saa 5 na nusu niondoke Kwangu nione Kama ntajipoza kwa mama watoto anaelea kichanga.

Nmefika nyumban, woWotwameshalala nmemkuta MKE Wangu kapitiwa usngz uku anamnyonyesha kichanga, nmempapasa ili nimuandae tufanye ila akili yote iko kunyonyesha kichanga Hana MDA kabisa na mimi.

Najaribu kumuachanisha na kichanga ili tufanye kdg nipunguze maumivu anakua mkali sana, kamkumbatia mtoto eti hataki tufanye tumharibu kichanga. Ananipush mkono hataki usumbufu. Ikabd kuachana nae, kwenda kuoga na kulala

Kesho yake tar. 15 Nayo saa 10 jioni nmefunga ofisi nmeanzia kwa rose mpaka saa 1 usiku sijakojoa kabisa kachoka. Nmetoka pale nmeenda kwa mamaJ kuanzia saa 2 usiku mpk saa 5 usiku imeshindika kabisa kukojoa nae kachoka na kunipiga Sana mateke nimuachie Hawez kuendelea.

Hali Iyo imeendelea hivyo hivyo nikifanya nao wote wawili kila siku iendayo kwa Mungu ila sikojoi kabisa mpk apo Jana siku ya pasaka.

Jana nmeamka Niko hoi,
Uume umesimama unaniuma Sana Kama umepondwa pondwa na nyundo, mabega na kiuno vinauma. Ila Sasa hamu ya mapenz iko juu Sana.

Ikabd saa 2 asbh niamkie kwa rose ambako tulifanya mapenz sana mpka saa 6 mchana ambapo bado upande Wangu hakukua na mafanikio, misuli ya miguu ikanikaza Sana maumivu makali ikanibd nisitishe zoezi, akanichua mguu Kisha nikaenda kwangu kupumzika maana nilipitiwa chakula Cha mchana tayar.

Nmefika nmekula nmepumzika mpk saa 10 mchana, hamu ya kufanya mapenzi ikarudi upya. ikabd nitoke niende kwa mamaJ maana aliomba saa nimtoe out PASAKA, nmefika kwake tukajikuta tumeanza kufanya mapenzi na habari ya kutoana out ikawa imefia hapo hapo.

Tumefanya mapenzi mpk 5 usiku,
MamaJ kachoka mwili mzima, ikabd Sasa mamaJ anionee huruma ajaribu hata kunichua kwa mikono na ulimi wake aone Kama nitafika ila wapi. Ndo kwanza nahisi ananiumiza misuli ya uume. Ikabd nimuombe aniache nijichue mwenyewe.

Kanipaka kilainishi, nimefanya vile MDA mrefu Sana uku nikivuta Sana hisia kali ili nifike kileleni haraka ila imeshindikana kabisa. Ikanilazimu niachane na Hilo zoezi nioge niende kwangu nikapumzike maana MDA ulikua Umeenda Sana (saa 7 kasoro usiku).

Leo Nmeamka saa 2 asbh uume umenisima na Hamu iko juu sana ikabd niende Tena kwa mamaJ. Nmefika kwake tumefanya mpka saa 7 mchana yeye kachoka na kagoma katakata kuendelea akidai kanivumilia Sana ila imekua too much yeye kachoka, mi Ndo nna matatizo niende hospitali au kwa wataalam nikatibiwe.

Zoezi likaishia hapo, nimekunywa supu, Kisha nmeondoka na kurudi kwangu kupumzika maana Mwilini sahivi najiskia vibaya sana.

Wakuu mnisaidie, hivi hali Hii ni ya kawaida au Kuna Kitu nmefanyiziwa? [emoji848]

Nafanyaje kuondokana na Hali hii maana sahivi inanitesa Sana[emoji848]

Vipi Kuna mtu humu iliwahi kumkuta?[emoji848]

Ushauri wenu tafadhali[emoji120]
Kwa maelezo hayo basi nimekusoma huna tatizo lolote ila ni kuwa hao unafanya nao tendo, umewazoea sana na pia style zenu ni zilezile hapana jipya kwako ndiyo maana hufiki kileleni.

Ufanye nini sasa? Tafuta msichana mwingine ambaye ana kariba tofauti kuanzia umbo, rangi na mpe style zingine hakika utamwaga na utafurahia tendo, ila hao uliowazoea wakaushie kama wiki na siku kadhaa ukija kurudi utakuwa usharudi kwenye hali ya kufika kileleni kawaida.

Fanya hayo ukifanikiwa, nikumbuke, ikigoma njoo tena nikueleze kingine.

NB.huyo msichana mpya jitahidi ujue afya yake.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hilo la kuchelewesha kuhold nmekua nikifanya Mara kwa Mara Kisha nikiamua NAKOJOA vizur tu,
ila Sasa imefikia hatua nahitaji kukojoa mwenyewe kwa hiari yangu bado inashindikana.
Nahisi tatizo lilianzia hapa...either una damage kwa nerve..

But also most causes are psychological, but organic reasons are also possible and are ruled out first during diagnosis...

Wahi kwa wataalamu mzee pia upunguze kupeleka 'moto' kwa kipindi unachotakiwa ufuate maelekezo kwa mtaalamu.
 
Maboga sio mboga, yaan yale maboga mbegu zake wauza karanga wanazipata au sehem wanapouza mbegu kama za asili Zinafanana na mbegu za Matango ila.zenyewe kubwa kiasi .Boga lipo mfano huu🎃🎃🎃tafuta mbegu zake uwe unatafuna hizi zinasaidia sana
Nayo Hii ntaijaribu mkuu,
Zilikua mbegu za mboga gan ulitumia?
 
Back
Top Bottom