Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Ooh wow
Hiyo ya rose petals ni nzuri eeh ?
Ndo hizo wanazoweka kwenye yoni me nilinunuaga sehemu dried rose petals kwa matumizi mengine ndo nikaelekezwa na hiyo ya kufanya kama yoni kwa dada K sema nafanya mara 1 au mbili per year nna uvivu😅😅
 
Kwa maelezo hayo basi nimekusoma huna tatizo lolote ila ni kuwa hao unafanya nao tendo, umewazoea sana na pia style zenu ni zilezile hapana jipya kwako ndiyo maana hufiki kileleni.

Ufanye nini sasa? Tafuta msichana mwingine ambaye ana kariba tofauti kuanzia umbo, rangi na mpe style zingine hakika utamwaga na utafurahia tendo, ila hao uliowazoea wakaushie kama wiki na siku kadhaa ukija kurudi utakuwa usharudi kwenye hali ya kufika kileleni kawaida.

Fanya hayo ukifanikiwa, nikumbuke, ikigoma njoo tena nikueleze kingine.

NB.huyo msichana mpya jitahidi ujue afya yake.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Yes !!! Nakazia apa kwa asilimia zote ajaribu kutafuta pisi mpya aone kwanza
 
Ni siku ya 16 sasa hamu ya mapenzi iko juu San Imenifanya nmefuluriza nafanya mapenzi sana kila siku iendayo kwa MUNGU Kuanzia tarehe 02 april mpaka leo hii tarehe 18april

Kinachonisikitisha zaid, ni siku ya 8 Sasa (tangu tarehe 10 April) natamani sana nifike kileleni ila nmejaribu kila njia ila imeshindika KABISA. Na hivi Sasa napata maumivu makali Sana pale nnapopatwa na hamu ya kufanya mapenzi au nnapoamka usingizi uume umesimama.

Ilianza hivi,
Baada ya migogoro ya kila Mara na Mchepuko wangu MamaJ kusababisha kuninunia kila Mara na kulikosa tendo, Nguvu zote nikaelekeza kwa Mchepuko mwingine ROSE na kwenda kumpangia chumba Cha kujitegemea ili niiendelee kupata tendo Kama kawaida.

Tarehe 02 April ndo tulianza rasmi kufanyia mapenz kwenye ayo makazi yake mapya. Na kutokana na uvivu wake. kipind chote hicho Tunafanya kila siku mpaka inafika tarehe 5 nilikua sifiki kabisa kileleni nikifanya nae, ila nilikua naenda kumalizia kwa MAMAj uko ndo nilikua nikifika natua kabisa mzigo wangu wote ndani maana alikua siku salama za kutokushika mimba.

Ilipofika tarehe 6 tukaingia migogoro Tena na mamaJ baada ya kununua kahaba mbele yake (nilishaleta hapa kisa chake).

Mgogoro huo ulipelekea tukakata mawasiliano kwa siku 3 na kwenye tendo nikaendelea kumtegemea ROSE pekee ambae alikua hanifikishi kileleni kabisa mpk tarehe 9 nilipoishiwa uvumilivu na kuamua kuumaliza mgogoro wangu na mamaJ ili angalau nikafanye nae nikojoe nipumue.

Na kweli siku iyo tarehe 9 nilikwenda kuutua mzigo wangu wote wa siku 3 kwake ambazo nilikua sijakojoa kabisa. Ila Sasa utaratibu ukaendelea vile vile nikawa naanzia kwa rose, afu namalizia kwa mama J.

Ilipofika tarehe 10 April nmetoka kwa Rose nmefanya imeshindika kufika, nmekuja kwa mamaJ nimalizie nifike kileleni nako ikashindikana maana mamaJ alikua kaingia hedhi. Hivyo ikanilazimu nilale tena bila kufika kileleni.

Sasa ikanibidi kesho yake nirudi tena kumtegemea ROSE pekee, Nako nikajitahidi Sana ila alikua anachoka haraka na kukaukiwa utelezi mapema mno na ikashindikana tena kufika kileleni.

Nikiwa nasubiri angalau mamaJ kwenye tarehe 13 au 14 angemaliza hedhi yake ili nikafanye nae nipate unafuu nifike kileleni. Tarehe 12 tukaingia tena kwenye mgogoro mwingine, kaninunia kisa nmemnyang'anya gari niliyompatia awe anatumia kwenye mizunguko yake.

Kiufupi iyo Gari niliachiwa na rafk yangu mmoja alienda kuuguza nje ya nchi tangu mwanzoni mwa mwez February, aliniachia kwa usalama na pia iwe inaendeshwa hana uhakika angerudi lini. Ndo nikampa mamaJ aitumie. Sasa jamaa akamtuma dada yake aje Kwangu aichukue, baada ya kuwasiliana na mamaj na kunambia Yuko kwake, nikamwambia Kuna mtu anakuja kuichukua iyo Gari akasema sawa.

Nikamwekeza boda amfikishe uyo Binti kwa mamaJ ili aichukue iyo gari yao.Nikapigiwa kwamba MamaJ kagoma kutoa funguo za gari akimtuhumu binti Ni hawala yangu na kashfa nyingine nyingi. Ikabd niende mwnyw Nmefika pale Kazidisha mdomo ikabd kumzaba makofi maana alikua ananidhalilisha,funguo nmeichukua kwa nguvu na gari nmeitoa mwenyewe nje ya geti lake na kumkabidhi binti aondoke nayo.

Baada ya huo ugomvi mkubwa, kanuna nami tukawa hatuongeleshani na hanipi Tena tendo na ikanifanya tena niendelee tena kumtegemea rose pekee ambae pumzi Hana ambapo tuliendelea ivo kufanya ili mradi tu ila nikawa sifiki kileleni.

Hali iyo imeenda mpk tarehe 14 asbh mapema ya saa 1 ambapo nililazimika kuamkia kwa mamaJ ili kumaliza tofauti zetu ili angalau nikojoe kimoja nipumue. Kweli nmekuta nae kumbe kanimiss, Tumeelewana yameisha na wote hatujaenda KAZIni siku iyo.
Tumeshinda siku nzima tunafanya mapenzi wore hamu ziko juu sana.

Chakushangaza mpaka naondoka pale saa 2 usiku sikufika kileleni kabisa hata Mara 1, huku mwenzangu mamaJ akiwa yeye amefika mara nyingi zaid hazina hata idadi na amekaukiwa Ute na kuchoka kabisa. Kabana kabisa mapaja yake na kunisukumiza kule hataki Tena kuendelea kufanya.

Nmetoka pale uume unaniuma sana.
Kuangalia mda saa 2 usiku,bado Ni mapema Sana mimi kurud nyumban.
Ikabd niende kwa Rose nione Kama ntafika kileleni maana leo nmeanzia kwa mamaJ.

Nmefika saa 3 na nusu hivi usiku na tumefanya MDA mfupi TU mpk kwenye saa 5 mwenzangu keshachoka Yuko hoi taabani analalamika nimemfululiza mno kila siku namfanya viungo vyote vinamuuma. Nikiachana nae ikabd saa 5 na nusu niondoke Kwangu nione Kama ntajipoza kwa mama watoto anaelea kichanga.

Nmefika nyumban, woWotwameshalala nmemkuta MKE Wangu kapitiwa usngz uku anamnyonyesha kichanga, nmempapasa ili nimuandae tufanye ila akili yote iko kunyonyesha kichanga Hana MDA kabisa na mimi.

Najaribu kumuachanisha na kichanga ili tufanye kdg nipunguze maumivu anakua mkali sana, kamkumbatia mtoto eti hataki tufanye tumharibu kichanga. Ananipush mkono hataki usumbufu. Ikabd kuachana nae, kwenda kuoga na kulala

Kesho yake tar. 15 Nayo saa 10 jioni nmefunga ofisi nmeanzia kwa rose mpaka saa 1 usiku sijakojoa kabisa kachoka. Nmetoka pale nmeenda kwa mamaJ kuanzia saa 2 usiku mpk saa 5 usiku imeshindika kabisa kukojoa nae kachoka na kunipiga Sana mateke nimuachie Hawez kuendelea.

Hali Iyo imeendelea hivyo hivyo nikifanya nao wote wawili kila siku iendayo kwa Mungu ila sikojoi kabisa mpk apo Jana siku ya pasaka.

Jana nmeamka Niko hoi,
Uume umesimama unaniuma Sana Kama umepondwa pondwa na nyundo, mabega na kiuno vinauma. Ila Sasa hamu ya mapenz iko juu Sana.

Ikabd saa 2 asbh niamkie kwa rose ambako tulifanya mapenz sana mpka saa 6 mchana ambapo bado upande Wangu hakukua na mafanikio, misuli ya miguu ikanikaza Sana maumivu makali ikanibd nisitishe zoezi, akanichua mguu Kisha nikaenda kwangu kupumzika maana nilipitiwa chakula Cha mchana tayar.

Nmefika nmekula nmepumzika mpk saa 10 mchana, hamu ya kufanya mapenzi ikarudi upya. ikabd nitoke niende kwa mamaJ maana aliomba saa nimtoe out PASAKA, nmefika kwake tukajikuta tumeanza kufanya mapenzi na habari ya kutoana out ikawa imefia hapo hapo.

Tumefanya mapenzi mpk 5 usiku,
MamaJ kachoka mwili mzima, ikabd Sasa mamaJ anionee huruma ajaribu hata kunichua kwa mikono na ulimi wake aone Kama nitafika ila wapi. Ndo kwanza nahisi ananiumiza misuli ya uume. Ikabd nimuombe aniache nijichue mwenyewe.

Kanipaka kilainishi, nimefanya vile MDA mrefu Sana uku nikivuta Sana hisia kali ili nifike kileleni haraka ila imeshindikana kabisa. Ikanilazimu niachane na Hilo zoezi nioge niende kwangu nikapumzike maana MDA ulikua Umeenda Sana (saa 7 kasoro usiku).

Leo Nmeamka saa 2 asbh uume umenisima na Hamu iko juu sana ikabd niende Tena kwa mamaJ. Nmefika kwake tumefanya mpka saa 7 mchana yeye kachoka na kagoma katakata kuendelea akidai kanivumilia Sana ila imekua too much yeye kachoka, mi Ndo nna matatizo niende hospitali au kwa wataalam nikatibiwe.

Zoezi likaishia hapo, nimekunywa supu, Kisha nmeondoka na kurudi kwangu kupumzika maana Mwilini sahivi najiskia vibaya sana.

Wakuu mnisaidie, hivi hali Hii ni ya kawaida au Kuna Kitu nmefanyiziwa? [emoji848]

Nafanyaje kuondokana na Hali hii maana sahivi inanitesa Sana[emoji848]

Vipi Kuna mtu humu iliwahi kumkuta?[emoji848]

Ushauri wenu tafadhali[emoji120]
Hivi mkuu DeepPond ushawahi kumgusa mkeo kweli ukiachana na fungate? mana kwny ratiba zote kwenye episode zako zote sijaona ratiba ya mke au yeye na migegedo wamepishana ndo mana ratiba zote ni kwa michepuko??
 
Inabidi utumie sea food Sana kuanzia saizi, pia kama una nafasi Kuna samaki anaitwa sea horse (farasi wa baharini)huyo pichani anasaidia kutibu magonjwa ya Maumivu ya mwili,uchovu,mgongo. Unaweza ukawa unamloweka kwenye juisi,maji,chai,supu au pombe Kisha unakunywa asubuhi na jioni. Unaweza mtumia hata mwaka au ukakata vipande ukamla. Huyo samaki anatumiwa Sana na wachina (Chinese herbs). Dar ukienda kivukoni pale ferry unaweza kumpata ingawa anavuliwa bahari kuu maeneo ya Kilwa au Mafia Bei kuanzia 15000 mpaka 20,000 Kwa mmoja yupo Sawa na kidole Cha mkono.

View attachment 2192408
Angalizo Kuna wafilipino walikuwa Bongo wakawa wanamtumia huyo kwenye pombe wao wanasema wanapata hamasa zaidi kama Yako kufanya kazi za kibailojia.
Duh!!!,Aisee samaki huyo mbona ana mwonekano mbaya sana!,dah, siwezi nikala.
 
Ndo hizo wanazoweka kwenye yoni me nilinunuaga sehemu dried rose petals kwa matumizi mengine ndo nikaelekezwa na hiyo ya kufanya kama yoni kwa dada K sema nafanya mara 1 au mbili per year nna uvivu[emoji28][emoji28]
Bora unatengeneza mwenyewe maana hizi online nasikia kuna fake aisee ..
Ooh unafanya mara chache ndo vizuri sio wale wanaambia watumie yoni kila mwezi .
 
Yes !!! Nakazia apa kwa asilimia zote ajaribu kutafuta pisi mpya aone kwanza
Hii Kitu nahisi inaweza kuniletea Tena mlolongo wa mahusiano mapya,
ambayo siko tayar nayo kwasasa mkuu
 
Hivi mkuu DeepPond ushawahi kumgusa mkeo kweli ukiachana na fungate? mana kwny ratiba zote kwenye episode zako zote sijaona ratiba ya mke au yeye na migegedo wamepishana ndo mana ratiba zote ni kwa michepuko??
Huwa namgusa,
Sema miez Hii 5 tangu aende likizo ya mimba,kujifungua pamoja na kunyonyesha tendo limekua changamoto Sana mkuu.
 
Maboga sio mboga, yaan yale maboga mbegu zake wauza karanga wanazipata au sehem wanapouza mbegu kama za asili Zinafanana na mbegu za Matango ila.zenyewe kubwa kiasi .Boga lipo mfano huu[emoji316][emoji316][emoji316]tafuta mbegu zake uwe unatafuna hizi zinasaidia sana
Shukran,
Ntajaribu Hii mkuu[emoji106]
 
Bora unatengeneza mwenyewe maana hizi online nasikia kuna fake aisee ..
Ooh unafanya mara chache ndo vizuri sio wale wanaambia watumie yoni kila mwezi .
Eeh walau sitbath ndo nafanya mara kwa mara
 
Hii Kitu nahisi inaweza kuniletea Tena mlolongo wa mahusiano mapya,
ambayo siko tayar nayo kwasasa mkuu
Unapima tu Kama utaweza maliza tatizo kwa kujaribu ladha mpya au tatizo litabaki palepale yani ni endelevu

Issue si mahusiano mapya ni kuchek tu tatizo lipo vipi kwa k ingne tofauti na ao wawili uliowazoea
 
Unapima tu Kama utaweza maliza tatizo kwa kujaribu ladha mpya au tatizo litabaki palepale yani ni endelevu

Issue si mahusiano mapya ni kuchek tu tatizo lipo vipi kwa k ingne tofauti na ao wawili uliowazoea
Najaribu vipi k tofauti bila kuingia kwenye mahusiano mapya, au unamaanisha nikanunue kahaba?
 
Kama ukipona na ukaendekeza ngono namna hiyo, siku za kuishi si nyingi ndgu.

Hapo una matatizo ya nguvu za kiume, nenda hospitali sijajua kwanini umeiweka jf hii ishu yako wakati ni serious issue ya kwenda hospital kabisa bila kuchelewa.

Kuna dogo mwaka 2017 alitangazwa bbc alikua na shida kama yako, sema yeye ngoma ilikua hailali kabisa. Alienda hospital akatibiwa.

Kwa maana hiyo we jamaa huwezi kutungisha mimba kwa sasa. Fanya uende hospital usije kua mgumba milele ndgu.
 
Hiyo hali yako inatokana na sababu kuu mbili
1. Kufanya mapenzi mfululizo bila kuacha nafasi ya siku atleast wiki
2. Kujichua(punyeto) na kuangalia sana filamu za ngono mpaka unapata addiction.

Mimi pia nilikuwa mhanga wa hali hiyo ila nashukuru nimejitibu kisaikolojia baada ya kupewa ushauri na maelekezo niwe na lifestyle gani na kwasasa mwili umekuwa sawa.

Nimesoma Tangu ile post yako ya mamaJ mpaka kununua BarMaid, bro Una tatizo la kisaikolojia kama ambalo nilikuwa nalo.
Usimtafute mchawi wala ujarogwa, itibu akili yako, jiwekee limitations na fanyia mazoezi kuziishi. taratibu utazoea na utakaa sawa
Pia jitahidi uwe Unakula vyakula vinavyoongeza sperms count hasa zile siku utakazoamua kupumzika kusexiana na huyo MamaJ au Rose wako.

Usiache kwenda hospitali. Ukiweza tembelea wataalam wa saikolojia
 
Back
Top Bottom