Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

Kama Rose hahimili mziki wako tafuta m'badala huyo mwambie atafute mume aolewe, kwanini utoe pesa mahali huduma haikidhi viwango?
 
Nakazia usimwonee huruma mwanamke,ila huyu ndugu yetu asipoangalia tutampoteza hii imekuwa too much
Kwakweli uko sahii,
Imekua Ni too much nmevumilia nmeshidwa ndo maana nmeamua kuileta humu.
Sio vitu vya kushabikia hivi dada angu
 
Wanawake wengne wanamigano michafu mkuu punguza unzizi utaishia pabaya mara mama j,mara dem wa chuo,mara rose,mara kahaba ,mara mkeo ,kazi unayo
 
Tope ulilozoea kufukua limeenda Na kuziba njia ya shahawa....Tiba Ni inabidi usafishwe lakini kinga Ni kuacha kuogelea kwenye mitaro michafu.
 
Tope ulilozoea kufukua limeenda Na kuziba njia ya shahawa....Tiba Ni inabidi usafishwe lakini kinga Ni kuacha kuogelea kwenye mitaro michafu.
Mbona Situmiagi njia iyo
Unachofijiri sicho kabisa mkuu
 
Inabidi wanaume waelimishwe kuwa kufanya mapenzi yanayohusisha penetration halafu ukawa huwezi kufika kileleni ni upungufu wa nguvu za kiume, sijui nani aliidanganya jamii kuwa kuwa kuwahi kileleni pekee ni upungufu wa nguvu za kiume, hasha! hata kuchelewa sana ni upungufu wa nguvu za kiume.

Asiyekuwa na upungufu wa nguvu za kiume ni yule anayefika kileleni kwa muda sahihi (kitaalamu) au anayeweza kukichelewesha kilele (kuhold) kwa sababu anazozijua yeye, lakini akili yake ikimwambia afike anafika.

Mi ninachoona hapa ni pengine una athari za kuangalia porno, hivyo waone wanasaikolojia wakusaidie, Kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…