Siku 21 za maombolezo ni nyingi mno

[QUOTE="Salary Slip, post:

Naomba nimalizie kwa kusema hivi:

Sometimes in life, it worth to agree when the rest or majority disgrees, and to disagree when the rest or majority agrees (time will decide who is right and who is wrong).

Similarly, sometimes it worth to be sceptical when the rest or majority are optimistic, and to be optimistic when the rest or majority are sceptical.[/QUOTE]



Mpaka hapa mtoa Mada umeufunga majadala wako mwenyewe!

Ubarikiwe kuliko kawaida; Ameen!!!
 
Mkuu hapa kwenye huduma ulifikiri vizuri! Sisi watu wa burudani tumeambiwa marufuku club mpaka siku hizo, sijui hata lama league yetu pendwa Bongo kama inaendelea. Haya ni madhara ya wazi ya siku 21.

Burudani ni sehemu ya “ huduma za lazima za mwanaAdam “??

Chief, let’s be objective!
 
Wewe ni bonge la mnafiki.
 
Pengine alikua hata hajazaliwa kipindi hicho na kama alizaliwa alikua kaduchu.... kizazi kipya kina mambo mengi sana walai
 

Miss u
 



Mpaka hapa mtoa Mada umeufunga majadala wako mwenyewe!

Ubarikiwe kuliko kawaida; Ameen!!!
[/QUOTE]
Asante sana kiongozi.
 
Pengine alikua hata hajazaliwa kipindi hicho na kama alizaliwa alikua kaduchu.... kizazi kipya kina mambo mengi sana walai
Nikwambie tu zile nyimbo za marehemu Komba ilifika hatua zikageika burudani na si nyimbo za maombolezo kwa jinsi watu walivypkuwa wanaziimba.
 
Si mmesema ni shujaa wa Africa na ni mtakatifu....SIKU 21 ni chache sana nashauri tuongeze zifike 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…