DR. PETERSON YUSUPH
Member
- Sep 26, 2013
- 6
- 1
Ni siku tatu(3) zimebaki kwa wizara ya afya kutoa majina ya waliochaguliwa. Je umejiandaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida 2 kama unavyokuwa umexubir mke wako ajfungue ya weza kuwa bahat mbaya akajfungua mtoto kafarik xo probability is 0.5
mkuu hujatumia busara kumjibu Dr. YUSUPH!! afadhali ungekaa kimya wala usingepungukiwa chochote
source of the info please!
Yan presha 2pu!mi mwenyewe nimeomba diploma ya dental therapy hku PHYSICS,CHEMISTRY,BIOLOGY yote nina C,huku MATH na ENG yote D.yani namuomba Mungu sana anisaidie nifanikishe.
Yes bro!CSEE 2010
yan presha 2pu!mi mwenyewe nimeomba diploma ya dental therapy hku physics,chemistry,biology yote nina c,huku math na eng yote d.yani namuomba mungu sana anisaidie nifanikishe.
Mkuu ikiona hivyo ni za o level ingekuwa a level tusingekuwa nae hapa sasa hivi angekuwa zake muhas,cuhas au kcmc anapiga MDhzo c na d ni za o.levo au a.leo?
Yatakuwa posted wapi jamani ndugu zangu
Itakuwa afadhal cz hatupumui kila siku yanatangazwa kesho.god be with us....