Siku 3 wizara ya afya

Siku 3 wizara ya afya

Kawaida 2 kama unavyokuwa umexubir mke wako ajfungue ya weza kuwa bahat mbaya akajfungua mtoto kafarik xo probability is 0.5
 
Kawaida 2 kama unavyokuwa umexubir mke wako ajfungue ya weza kuwa bahat mbaya akajfungua mtoto kafarik xo probability is 0.5

mkuu hujatumia busara kumjibu Dr. YUSUPH!! afadhali ungekaa kimya wala usingepungukiwa chochote
 
Yan presha 2pu!mi mwenyewe nimeomba diploma ya dental therapy hku PHYSICS,CHEMISTRY,BIOLOGY yote nina C,huku MATH na ENG yote D.yani namuomba Mungu sana anisaidie nifanikishe.
 
yan presha 2pu!mi mwenyewe nimeomba diploma ya dental therapy hku physics,chemistry,biology yote nina c,huku math na eng yote d.yani namuomba mungu sana anisaidie nifanikishe.

hzo c na d ni za o.levo au a.leo?
 
Ni ya o.level,a level si mazuri nina PHYSICS-S,CHEMISTRY-E,BIOLOGY-E.Ni hayo tu bro!
 
Itakuwa afadhal cz hatupumui kila siku yanatangazwa kesho.god be with us....
 
Mungu ndiyo atahukumu kwa wanalolifanya kwa dhuruma wanayoitenda kwani nw naxkia wanafanya kwa kuwaweka wale walio na pexa
 
Back
Top Bottom