Siku 3 wizara ya afya

Kawaida 2 kama unavyokuwa umexubir mke wako ajfungue ya weza kuwa bahat mbaya akajfungua mtoto kafarik xo probability is 0.5
 
Kawaida 2 kama unavyokuwa umexubir mke wako ajfungue ya weza kuwa bahat mbaya akajfungua mtoto kafarik xo probability is 0.5

mkuu hujatumia busara kumjibu Dr. YUSUPH!! afadhali ungekaa kimya wala usingepungukiwa chochote
 
mkuu hujatumia busara kumjibu Dr. YUSUPH!! afadhali ungekaa kimya wala usingepungukiwa chochote

acha complication mwenyewe kaelewa we kama unatohoa na kunominisha wengne kiswahili hatujui
 
Yan presha 2pu!mi mwenyewe nimeomba diploma ya dental therapy hku PHYSICS,CHEMISTRY,BIOLOGY yote nina C,huku MATH na ENG yote D.yani namuomba Mungu sana anisaidie nifanikishe.
 
yan presha 2pu!mi mwenyewe nimeomba diploma ya dental therapy hku physics,chemistry,biology yote nina c,huku math na eng yote d.yani namuomba mungu sana anisaidie nifanikishe.

hzo c na d ni za o.levo au a.leo?
 
Ni ya o.level,a level si mazuri nina PHYSICS-S,CHEMISTRY-E,BIOLOGY-E.Ni hayo tu bro!
 
Itakuwa afadhal cz hatupumui kila siku yanatangazwa kesho.god be with us....
 
Yatakuwa posted wapi jamani ndugu zangu
 
Hiv ukiwa cert ya CA na dipo ya CO unapga mkwanja wa kam kilo ngap
 
Mungu ndiyo atahukumu kwa wanalolifanya kwa dhuruma wanayoitenda kwani nw naxkia wanafanya kwa kuwaweka wale walio na pexa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…