MUNYU THEDOCTOR
New Member
- Jan 26, 2012
- 3
- 5
Mungu ndiyo atahukumu kwa wanalolifanya kwa dhuruma wanayoitenda kwani nw naxkia wanafanya kwa kuwaweka wale walio na pexa
mi wananiudhi kweli hawa jamaa, badala waanze na akina sie ambao hatuna hata kacheti wanadeal kwanza na mijitu ambayo iko kazini na inapiga hela za kutosha! Tena na kwenda kusoma nje na kwa udhamini wa serikali! Wizi mtupu!
Halafu akina sie baadae tunaambiwa hakuna udhamini! Haileti maana hii.