Siku 3 wizara ya afya

Siku 3 wizara ya afya

Mbona bado hadi sasa hv?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani selection zinafanyika kwa vi memo kama application haina support ya ki memo kutoka kwa mkubwa yeyote basi nakushauri uendelee na mambo mengine.kama hakuna unayemjua pole sana
 
Jamani kitu kipo kwa hewa tayari,hivi wizara ya afya ni kweli wametoa majina au au wanazingua? Hebu tuingie moh sasa hivi!
 
Back
Top Bottom