Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi karibuni.
Kumbukumbu zinaonyesha siku 511 ambazo Gamondi ameitumikia Yanga zimekuwa ngumu kwa watani wao wa jadi Simba kutokana na kocha huyo kuiongoza timu yake kutwaa mataji yote muhimu ambayo Simba ilikuwa imepanga kuyatwaa lakini pia kuiwezesha yanga kupata matokeo mazuri kwenye mechi dhidi ya watani wao wa jadi.
Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi
Mchezo wa Ngao ya Jamii kule Tanga Kufungua msimu wa 2023/ 2024
Simba 0 - 0 Yanga ( Yanga akafungwa kwa penati na Simba akawa bingwa)
November 5 2023
Simba 1- 5 Yanga ( Ligi kuu ya NBC), Mzunguko wa pili Yanga 2 - 1 Simba ( Ligi kuu ya NBC),
Msimu wa 2024/2025
Ngao ya Jamii
Simba 0 - 1 Yanga ,
Ligi kuu Mzunguko wa kwanza Simba 0 - 1 Yanga
Kwahiyo ukitazama katika game walizokutana kati ya Yanga na Simba, Yanga walipoteza game moja pekee. Kwahiyo Simba watabaki na kumbukumbu ya kupasuka mara nyingi na Yanga chini ya Kocha Gamond.