Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

Na bado wamemtimua, watafukuza sana makocha wazuri, nasredine heri yake aliondoka mapema.
 
Na bado wamemtimua, watafukuza sana makocha wazuri, nasredine heri yake aliondoka mapema.
Ribertinho alikuwa na ubovu gani? Si alifungwa mechi 1 tu na Yanga akatimuliwa? Tena simba yenywe ilikuwa imechoka sana..nawashangaa makolo kudandia mambo ya wa kubwa ilihali kwenu kuna madudu kibao. Hivi mechi ya juzi ya simba Queens mliona timu ilivyoingia uwanjani?
 
Simba anaenda kufa game 5 maana yanga anachokitaka ni ubingwa wa 4 huenda na 5
Kumleta huyu kocha ni karata muhimu hasa kwa yeyote aliyeiona galaxy msimu uliopita jamaa ana mbinu sana
Hapa kelele zitakuwa nyingi sana ila as yanga afrika we are on a our way up
Alikofukuzwa hajashinda mechi hata moja🤣🤣
 
Ribertinho alikuwa na ubovu gani? Si alifungwa mechi 1 tu na Yanga akatimuliwa? Tena simba yenywe ilikuwa imechoka sana..nawashangaa makolo kudandia mambo ya wa kubwa ilihali kwenu kuna madudu kibao. Hivi mechi ya juzi ya simba Queens mliona timu ilivyoingia uwanjani?
Mimi ni yanga, ila wanakosea sana kutimua makocha wazuri, shida hawana uvumilivu, na kama wanabadilisha makocha kwa lengo la kuchukua vikombe vya kimataifa basi watafukuza sana, hata tuletewe guardiola au skaloni watafukuzwa tu
 
Back
Top Bottom