Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

Na bado wamemtimua, watafukuza sana makocha wazuri, nasredine heri yake aliondoka mapema.
 
Na bado wamemtimua, watafukuza sana makocha wazuri, nasredine heri yake aliondoka mapema.
Ribertinho alikuwa na ubovu gani? Si alifungwa mechi 1 tu na Yanga akatimuliwa? Tena simba yenywe ilikuwa imechoka sana..nawashangaa makolo kudandia mambo ya wa kubwa ilihali kwenu kuna madudu kibao. Hivi mechi ya juzi ya simba Queens mliona timu ilivyoingia uwanjani?
 
Alikofukuzwa hajashinda mechi hata moja🤣🤣
 
Mimi ni yanga, ila wanakosea sana kutimua makocha wazuri, shida hawana uvumilivu, na kama wanabadilisha makocha kwa lengo la kuchukua vikombe vya kimataifa basi watafukuza sana, hata tuletewe guardiola au skaloni watafukuzwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…