Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE EMMANUEL CHEREHANI SIKU 645 BUNGENI NA MABADILIKO MAKUBWA JIMBO LA USHETU
"Tulipata Shilingi Milioni 470 kwaajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Elias Kwandikwa" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu
"Tulipata Shilingi Bilioni 2.08 kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule za Sekondari Jimbo la Ushetu" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu
"Tulipata Shilingi Bilioni 3.5 kwaajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Ushetu" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu
"Tulipata Shilingi Milioni 550 kwaajili ya ujenzi wa maboma ya Zahanati Ushetu" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu
"Tulipata Shilingi Bilioni 2.2 kwaajili ya ujenzi wa Jengo la Utawala Ushetu" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu.