Siku 645 Bungeni za Mbunge Cherehani

Siku 645 Bungeni za Mbunge Cherehani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MBUNGE EMMANUEL CHEREHANI - SIKU 645 BUNGENI, MIKUTANO 235 YA HADHARA

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Dkt. Mhe. Emmanuel Cherehani mpaka sasa ametimiza SIKU 645 BUNGENI na kufanya Mikutano 235 ya HADHARA

Umeme Vijijini
"Tumepiga hatua kubwa katika kusimamia na kutekeleza miradi ya Umeme Vijijini kutoka Vijiji 20 mwaka 2021 hadi Vijiji 70 sasa Jimboni Ushetu" - Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu

#HakunaKilichosimamaUshetu
#SamiaKazini
#KaziIendelee
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-27 at 16.58.14.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-27 at 16.58.14.jpeg
    76.8 KB · Views: 8
  • WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.32.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.32.jpeg
    95 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.33.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.33.jpeg
    128.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.44.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.44.jpeg
    90.8 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.44(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-27 at 17.28.44(1).jpeg
    122.4 KB · Views: 4
We chawa wake mwambie dhuruma ya tumbaku ushetu haivumilik...kutoka kwa mawakala uchawara!
 
Hakuna mtu ana muda na majizi ya kura.
 
Back
Top Bottom