Siku 7 za mapumziko aka Wiki Moja kwa Ushindi wa Simba SC

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Kuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba.

Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea kamwe katika historia ya makundi afrika Championship [emoji471].

Ila mvutano huu kikao kikiendelea kuna uwezekano ukasitushwa kwani hatua hii itawasikitisha wengi.

Mnyama Mnyama.
 
Nguvu Moja [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] Simba SC Mnyama Mkali Mwituni
 
Ndiwooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba.

Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea kamwe katika historia ya makundi afrika Championship [emoji471].

Ila mvutano huu kikao kikiendelea kuna uwezekano ukasitushwa kwani hatua hii itawasikitisha wengi.

Mnyama Mnyama.
Bomu mochwari
Dawa yenu yanga
 
Ushindi wa icho kibonde naona umewalevya mpaka mnaanza kuongea maneno yote na kuyamaliza, kipigo kama icho ndio mnakwenda kukuktana nacho mbele ya safari nyie endeleeni kubwabwaja kama mmekatika vichwa
 
Kwa mujibu wa CAF,timu zilizoingia robo fainali kwenye CAF Championship zinapewa $650,000 za maandalizi
 
Watu weuweeeeeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushindi wa icho kibonde naona umewalevya mpaka mnaanza kuongea maneno yote na kuyamaliza, kipigo kama icho ndio mnakwenda kukuktana nacho mbele ya safari nyie endeleeni kubwabwaja kama mmekatika vichwa
Ukipata like nidai kvant
 
Back
Top Bottom