Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba.
Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea kamwe katika historia ya makundi afrika Championship [emoji471].
Ila mvutano huu kikao kikiendelea kuna uwezekano ukasitushwa kwani hatua hii itawasikitisha wengi.
Mnyama Mnyama.