Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Bomu mochwariKuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba.
Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea kamwe katika historia ya makundi afrika Championship [emoji471].
Ila mvutano huu kikao kikiendelea kuna uwezekano ukasitushwa kwani hatua hii itawasikitisha wengi.
Mnyama Mnyama.
Ushindi wa icho kibonde naona umewalevya mpaka mnaanza kuongea maneno yote na kuyamaliza, kipigo kama icho ndio mnakwenda kukuktana nacho mbele ya safari nyie endeleeni kubwabwaja kama mmekatika vichwaKuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba.
Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea kamwe katika historia ya makundi afrika Championship [emoji471].
Ila mvutano huu kikao kikiendelea kuna uwezekano ukasitushwa kwani hatua hii itawasikitisha wengi.
Mnyama Mnyama.
Ya mbele huyajui kaa kimya muhimu tumefuzuUshindi wa icho kibonde naona umewalevya mpaka mnaanza kuongea maneno yote na kuyamaliza, kipigo kama icho ndio mnakwenda kukuktana nacho mbele ya safari nyie endeleeni kubwabwaja kama mmekatika vichwa
Watu weuweeeeeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wa CAF,timu zilizoingia robo fainali kwenye CAF Championship zinapewa $650,000 za maandalizi
Ukipata like nidai kvantUshindi wa icho kibonde naona umewalevya mpaka mnaanza kuongea maneno yote na kuyamaliza, kipigo kama icho ndio mnakwenda kukuktana nacho mbele ya safari nyie endeleeni kubwabwaja kama mmekatika vichwa