financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
[emoji3] [emoji3] ,umenigusa Mimi kabisa, ila mi huwa sivuti mkwanja mrefu sasa,kidogo tuuYap style hiyo ya wadada naijua anajifanya hataki lakini atakuja kukuvuta mkwanja wa maana hutachomoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikopi message..nitume kwa yule bwana Fulani..labda atatangaza ndoa⦠[emoji16][emoji16]
Ukiwaonyesha upendo wa agape hawa viumbe utaumia tu. Kikubwa aende nae jinsi anavoenda yeye asiwe na shauku nae sanaMuombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
Mademu wapo, ila material ninayoyataka ni aina yake ndio maana najaribu bahati yangu.Ety sijui namtumia kazi gani [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu achana na wanachuo watakuchosha bure, kama anampango wa kusoma miaka mitano utamsubir hadi 2024 bila kutafuta demu mwingine???
Alafu demu ambae hajawa hata na utayar bado, unawezaje kuwaza ndoa!!!
may be let me try, familia yake ni BORN AGAIN MUNGU KWANZA.
Mshuaa jiongeze sana Asee
Ujuvii na takwimu zisizo rasmi..
Demu wa mwaka wa kwanza bado sana, ajui vingi na aoni fursa nyingi...
Akifika mwaka wa tatu akisema ivoo ujue huyo ndo wife material..
Nikija kwenye ile mada ya kula demu kimasihala nakuta visa kama vyako mkuu
Ngoja apitie mitihani ya chuo kwanza ndo ukuje uku useme ni wife material ..
Ma lectures awajaanza kumuona ...
Member wa group discussion za mchana na usiku bado apoo ...
Mzeiyaaa mda bado wa kuitwa wife material....
Utajeruhiwa vibaya zaidi ya awali ,be humble ,watch,observe and wait first