Basi wakati anaendelea kupambana na mitihani ya malecture, classmate na mabaharia acha mimi niendelee kusaka pesa.Mshuaa jiongeze sana Asee
Ujuvii na takwimu zisizo rasmi..
Demu wa mwaka wa kwanza bado sana, ajui vingi na aoni fursa nyingi...
Akifika mwaka wa tatu akisema ivoo ujue huyo ndo wife material..
Nikija kwenye ile mada ya kula demu kimasihala nakuta visa kama vyako mkuu
Ngoja apitie mitihani ya chuo kwanza ndo ukuje uku useme ni wife material ..
Ma lectures awajaanza kumuona ...
Member wa group discussion za mchana na usiku bado apoo ...
Mzeiyaaa mda bado wa kuitwa wife material....
Utajeruhiwa vibaya zaidi ya awali ,be humble ,watch,observe and wait first
Usiogope, hainaga uzoefu kuna ambao hawabadiliki mkuu, hongera huenda umeokota dodo kwenye mwarobaini.Nipe uzoefu ni kweli ananivutia kasi? anipige.
[emoji3] [emoji3] ,umenigusa Mimi kabisa, ila mi huwa sivuti mkwanja mrefu sasa,kidogo tuu
Wew unataka ndugu yetu afe kwa mawazo hapo badae zawad tena mmm[emoji23][emoji23] wanawake mnawajuaMuombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
Sidhani,mabaharia wote hatutangazi ndoa kwa single mother au mwanamke aliegonga 30 years old[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikopi message..nitume kwa yule bwana Fulani..labda atatangaza ndoa… [emoji16][emoji16]
Kuna watu ushauri wenu ni zaidi ya nguvu za giza aise, yaani unamtumbikiza shimoni kijana mwenzako hivi hivu!Muombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
Kila la kheri...
Ila nikuambie tu mwanamke wa mwaka wa kwanza chuo kwa hiyo meseji asilimia 98 unadanganywa.
Ukishamwonyesha mwanamke unamhitaji zaidi ya anavyokuhitaji utayachukia mapenzi....
Nisiandike saana maana hakuna aliyewahi kuwaelewa.
Sidhani,mabaharia wote hatutangazi ndoa kwa single mother au mwanamke aliegonga 30 years old[emoji41]