Siku ambayo Hayati Magufuli alimshangaa Mufti Aboubakar Zuberi

Ni bora tu walivyojenga wenyewe, kwa jinsi ninavyoijua bakwata laiti wangekabidhiwa hizo pesa wangeishia kujenga msingi tu na pesa yote ingekua imeisha.
 
Tuwekee hapa huo ushahidi kuthibitisha sababu ulizotaja kuwa ni chanzo Cha kupendana Mufti na Mwendazake kuwa ni kitendo Cha Mufti kukataa hela cash Kwa ajili ya ujenzi wa msikiti.
 
mkuu magu kaongoza nchi ujue kabla ya hapo amekaa waziri wa miundombinu muda sana 28b unahisi kwake ni hela ya kumuumiza roho
Sasa ilikuaje amteke MO kisa alikataa kutoa 2B alikuwa nawatuma kaina sabaya wakaibie wafanyabiashara kule moshi Million 100 n.k yule jamaa alikuwa mlafi na mroho sana ndio maana akaenda kuficha hela zile china,mjinga yule
 
Sasa ilikuaje amteke MO kisa alikataa kutoa 2B alikuwa nawatuma kaina sabaya wakaibie wafanyabiashara kule moshi Million 100 n.k yule jamaa alikuwa mlafi na mroho sana ndio maana akaenda kuficha hela zile china,mjinga yule
una stori za vijiweni nyingiiiiii
stori za wajanja wa bush
 
kweli aisee!!!!
 
Leta story zake behind the scenes hawa watu kila kitu hufanya kupata attention ila ni waovu
 
Unafikiri bakwata wangepewa cash msikiti ungejengwa..kufikia hapo ulipo?
Sana sana ungeishia kwenye foundation tu pesa ingeliwa

Ova
 
Magufuli alishangaa akajisemea mwenyewe ingekuwa ni yeye angezichukua kisha anazipeleka China kwenye ile account yake.
Stori zingine bwana,sasa si mkazilete hizo pesa huko alikoweka! Au zimegoma kutoka?
 
Stori za gahawa
 
Sasa kama kitu hakiwezekani kwanini kiongelewe?
ila watu wajue kuna mwizi aliwahi kuingia ikulu na kuiba hela za watanzania wenzake kwenda kuzificha china. Lazima vizazi vyetu vielewe wasije rudia kumpa urais mtu mshamba kama yule, shetani, staff kichaa aliyekuwa na file mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…