Siku ambayo mama alipata ushahidi kuwa nagegeda watoto wa watu... nilifadhaishwa sana.

Siku ambayo mama alipata ushahidi kuwa nagegeda watoto wa watu... nilifadhaishwa sana.

Mama yake alikuwa anatoa mizigo kwenye gari si Unajua wanawake tunapenda mafurushi mengi Tukiwa tunasafir hivyo wakat anatoa bahat mbaya akaokota na kyupi akizani ni ya aunt yake Gudume imedondoka
Hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] huyu jamaa stori zake bwana
 
Ukilamba limao au ndimu itakusaidia kukata hiyo hali ya kichefu chefu. Pole dada... Ndo ukubwa huo

Unamtukanisha mama yako kwa story ya kutunga ukidhani ni sifa!
 
Fuata tu ushauri wangu. Lamba limao au ndimu hiyo hali itakata au itapungua kuanzia hapo utakaa kwa amani bila kutema tema mate kwa kichefu chefu.
Kama Baba yako ushawahi kumuita dada sawa
 
"Aunt mdogo wake mama!". Umechemka kidogo huyu mi mama ako mdogo ili awe aunt lazima awe mdogo ake baba ako. Kesho unapotunga uongo kumbuka hilo
 
"Aunt mdogo wake mama!". Umechemka kidogo huyu mi mama ako mdogo ili awe aunt lazima awe mdogo ake baba ako. Kesho unapotunga uongo kumbuka hilo
Kwa English mama mdogo anaitwaje?
 
Back
Top Bottom