Hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] huyu jamaa stori zake bwanaMama yake alikuwa anatoa mizigo kwenye gari si Unajua wanawake tunapenda mafurushi mengi Tukiwa tunasafir hivyo wakat anatoa bahat mbaya akaokota na kyupi akizani ni ya aunt yake Gudume imedondoka
Aaaah!![emoji20] kwa kosa gani sasa??[emoji17][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikiiva mpe akili itamkaa sawa.
Kwa sababu unaniambukiza uvivu wa kusomaMmh![emoji30][emoji30]
Safi [emoji4]Kwa sababu unaniambukiza uvivu wa kusoma
Naona imekutekenya katikati ya kijambio chakoUyu= huyu
Kuna namna ya kutafuta waume hii yako sijui kama ni ya kusaidia.
Sikitaki hataaaUnakitaka mamiiii
Kwa English mama mdogo anaitwaje?"Aunt mdogo wake mama!". Umechemka kidogo huyu mi mama ako mdogo ili awe aunt lazima awe mdogo ake baba ako. Kesho unapotunga uongo kumbuka hilo