Hahahaha, angalia bwana, Waarabu wana msemo "kulu dagga fi ha taalim" Kila kipigo kina mafunzo.
Mkuu ningeamka asubuhi na kuona yale matokeo ningeweza kufa au kuwa kipofu au kiziwi. Namshukuru Mungu niliangalia mechi yote maana machozi yaliisha machoni nikajikuta nacheka tuuu.
Siku hiyo nilijaaa imani sana nilikuwa naamini yale yote yatarudi. Hadi dakika ya 90 niliamini magoli yatarudi.
Usiku sikulala baada ya hiyo mechi.
Tokea siku hiyo sikuwahi angalia mechi ya Brazil tena maana nilikuwa nikiwaona naona yale magoli yanavyoingia...
Naipenda Brazil sana japo pamoja na kufungwa nitaendelea ishabikia na huwa ikitolewa tu basi mimi nashabikia wale wasioshabikiwa na wengi..
Football hurts when you get the unexpected...
Sijui mashabiki wa Arsenal wanaishije
Arsenal inatisha.
Kwani wamefungwa na wao?

Hahahahaa mimi hua nacheka unavyopenda kusema 'Gozi lako'....
Hiyo siku naikumbuka na nilifurahi sana maana siipendi Brazil.
Kwa ajili nimekukumbusha timu yako ilivyolambwa goli saba?
Jamani mbona mnawasi wasi na faizafox kiasi hicho...hata yy ni mpenda michezo anapenda german na yanga...hebu muacheni you should stay to the topic...hajaja hapa kujilipua
Huipendi Brazil kivip wakati rangi ya chama letu ni ya Brazil?
Arsenal inatisha.
Kwani wamefungwa na wao?