Siku ambayo wapenzi wa soka hawataki kuikumbuka

Jamani mbona mnawasi wasi na faizafox kiasi hicho...hata yy ni mpenda michezo anapenda german na yanga...hebu muacheni you should stay to the topic...hajaja hapa kujilipua
 
Hahahaha, angalia bwana, Waarabu wana msemo "kulu dagga fi ha taalim" Kila kipigo kina mafunzo.

Mkuu ningeamka asubuhi na kuona yale matokeo ningeweza kufa au kuwa kipofu au kiziwi. Namshukuru Mungu niliangalia mechi yote maana machozi yaliisha machoni nikajikuta nacheka tuuu.
Siku hiyo nilijaaa imani sana nilikuwa naamini yale yote yatarudi. Hadi dakika ya 90 niliamini magoli yatarudi.
Usiku sikulala baada ya hiyo mechi.
Tokea siku hiyo sikuwahi angalia mechi ya Brazil tena maana nilikuwa nikiwaona naona yale magoli yanavyoingia...

Naipenda Brazil sana japo pamoja na kufungwa nitaendelea ishabikia na huwa ikitolewa tu basi mimi nashabikia wale wasioshabikiwa na wengi..
Football hurts when you get the unexpected...

Sijui mashabiki wa Arsenal wanaishije
 
Arsenal inatisha.

Kwani wamefungwa na wao?
 
Naunga mkono hoja,maisha na arsenal ni shida
 
Hahahahaa mimi hua nacheka unavyopenda kusema 'Gozi lako'....
Hiyo siku naikumbuka na nilifurahi sana maana siipendi Brazil.

Huipendi Brazil kivip wakati rangi ya chama letu ni ya Brazil?
 
Jamani mbona mnawasi wasi na faizafox kiasi hicho...hata yy ni mpenda michezo anapenda german na yanga...hebu muacheni you should stay to the topic...hajaja hapa kujilipua

Mie naona wewe ndiye mpaka mijicho inataka kukutoka kwa wasiwasi hujioni?
 
Mimi nilikuwa nafkiri lbda naangalia mechi nikiwa usingizini....au labda naangalia vipande vya mechi za nyuma
 
Inawezakuwa kweli japo miaka ya hivi karibuni watu wengi wamepunguza upenzi na Brazir, kwa kitambo kuanzia miaka ya 90kushuka ingelikuwa tatizo kwani konazote ni braziri
 
Huipendi Brazil kivip wakati rangi ya chama letu ni ya Brazil?

Hahahah hata kama bwana lakini Brazil siipendi kabisa.Mbona mzee wangu ni Simba lakini ni Brazil? Ile siku nilimuonea huruma sana kiukweli!
 
mi hata sasa hiyo video tu sitaki kuiangalia, nitajitonesha bure!!
 
Arsenal inatisha.

Kwani wamefungwa na wao?

Na ujanja wote huo FaizaFoxy unashabikia timu ya mabunduki ya mchina..? Lazima utakuwa unakaa karibu na hospitali wewe.. Au gozi wako amekaa stand by na vidonge vya ugonjwa moyo lol..
 
Last edited by a moderator:
Inawezakuwa kweli japo miaka ya hivi karibuni watu wengi wamepunguza upenzi na Brazir, kwa kitambo kuanzia miaka ya 90kushuka ingelikuwa tatizo kwani konazote ni braziri

= Brazil au kikwao Brasil.
 
Back
Top Bottom