Siku ambayo wapenzi wa soka hawataki kuikumbuka


Weka hizo takwimu....
 
nakumbuka siku hiyo nilikuwa nimekaa karibu na mpendwa mmoja hivi..baada ya lile goli la tatu tusi lilimtoka mdomoni mwenyewe nikashangaa..nikamwambia mtumishi leo shetani yu nawe..wajerumani walichafua hali ya hewa siku ile kwa kweli

Hahahahaha eti "Shetani yu nawe". Aisee JF kiboko
 
Weka hizo takwimu....

Most matches played
Most goals scored in w. cup
Most hat-tricks scored w.cup
Most played final
top scorers ni wengi kuliko nchi yoyote( muller, klose, gerd muller na wengine )
world cup top scorer of all times. klose from germany
na nafikiri sisi ndo tumepiga mtu migoli kibao mechi ya nusu final
most runner played ni germany, (
Most finishes in the top two), top three na top four. hii inaonesha ni jinsi gani jamaa wako consistence na wako vizuri mda wote(hawabahatishi )

BRAZIL WANATUZIDI KITU KIMOJA TU CHA MAANA , WANA W.CUP TITTLE 5 SISI TUNAZO NNE ...
 

brazil wamecheza na germany mechi 22 wakishinda 12 wakifungwa 5 nakutoa draw 5,kombe la mabara germany kapigwa mara zote mbili,worldcup final kapigwa 2002...hii inaonyesha ni jinsi gani katika mashindano germany huwa anapigwa mara nyingi zaid..
 
brazil wamecheza na germany mechi 22 wakishinda 12 wakifungwa 5 nakutoa draw 5,kombe la mabara germany kapigwa mara zote mbili,worldcup final kapigwa 2002...hii inaonyesha ni jinsi gani katika mashindano germany huwa anapigwa mara nyingi zaid..

What ever , we are the top team in Europe and the world , Sisi tumewapiga 7 bila and we made a mark on that , kumbuka kipindi cha pili Germany Kwa sportsmanship yetu tuliamua kutoongeza magoli zaidi ili kuwapa heshima brazili na kutowafedheesha , tukafunga goli mbili basi (hii agreement ilifanyika dressing room ). So don't under rate Germany, ni watu Hatari Sana brother

Na sisi tunapiga timu kubwa kubwa , refer 2010 England na Argentina kilichowakuta , ureno ndo Havana ham na sisi kabisa
 
hahahhahahahhahaha..unajua umenichekesha sana,kwa hiyo unataka kusema HT dressing room tuliomba poo!msitupige nyingi..
 
hahahhahahahhahaha..unajua umenichekesha sana,kwa hiyo unataka kusema HT dressing room tuliomba poo!msitupige nyingi..

Serious , u won't believe lakini ilikuwa hivo , imagine Andrew shurer angeingia mapema na kocha akamwambia komaa ingekuwaje ? Af kulikuwa na final so we needed to rest ndo maana hummels alitoka sub wakati alikuwa mtu muhimu
 

Records zipi hizo? Hebu zianike hapa
Brazil ndio timu pekee haijakosa hata mara moja kushiriki World Cup kitu ambacho hakuna timu Ya taifa lolote imeweza including Germany
Brazil are 5 times World Cup winners
Germany are only 4
Sasa sijui records gani zitazidi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…