AKON
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 213
- 45
Mimi Siku ambayo sintaisahau ni Siku Simba ilipofungwa na Libolo maana nilifurahi sana.
Jamaa una bifu kweli . Siku ya okwi 5 ndala fc 0 unaikumbuka ? Hii siku sitaisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Siku ambayo sintaisahau ni Siku Simba ilipofungwa na Libolo maana nilifurahi sana.
Na kama mtu haipendi Germany ana matatizo maana ni timu yenye mafanikio na record kibao tu dunia nzima , jamaa wana record ambazo hata Brazil hatakaa azifikie kirahisi rahisi .! Jamaa wana discipline , wanacheza game safi Sana na wanajua niseme tu Germany ni mfano wa kuigwa katika soccer
nakumbuka siku hiyo nilikuwa nimekaa karibu na mpendwa mmoja hivi..baada ya lile goli la tatu tusi lilimtoka mdomoni mwenyewe nikashangaa..nikamwambia mtumishi leo shetani yu nawe..wajerumani walichafua hali ya hewa siku ile kwa kweli
Weka hizo takwimu....
Most matches played
Most goals scored in w. cup
Most hat-tricks scored w.cup
Most played final
top scorers ni wengi kuliko nchi yoyote( muller, klose, gerd muller na wengine )
world cup top scorer of all times. klose from germany
na nafikiri sisi ndo tumepiga mtu migoli kibao mechi ya nusu final
most runner played ni germany, (Most finishes in the top two), top three na top four. hii inaonesha ni jinsi gani jamaa wako consistence na wako vizuri mda wote(hawabahatishi )
BRAZIL WANATUZIDI KITU KIMOJA TU CHA MAANA , WANA W.CUP TITTLE 5 SISI TUNAZO NNE ...
brazil wamecheza na germany mechi 22 wakishinda 12 wakifungwa 5 nakutoa draw 5,kombe la mabara germany kapigwa mara zote mbili,worldcup final kapigwa 2002...hii inaonyesha ni jinsi gani katika mashindano germany huwa anapigwa mara nyingi zaid..
hahahhahahahhahaha..unajua umenichekesha sana,kwa hiyo unataka kusema HT dressing room tuliomba poo!msitupige nyingi..What ever , we are the top team in Europe and the world , Sisi tumewapiga 7 bila and we made a mark on that , kumbuka kipindi cha pili Germany Kwa sportsmanship yetu tuliamua kutoongeza magoli zaidi ili kuwapa heshima brazili na kutowafedheesha , tukafunga goli mbili basi (hii agreement ilifanyika dressing room ). So don't under rate Germany, ni watu Hatari Sana brother
Na sisi tunapiga timu kubwa kubwa , refer 2010 England na Argentina kilichowakuta , ureno ndo Havana ham na sisi kabisa
hahahhahahahhahaha..unajua umenichekesha sana,kwa hiyo unataka kusema HT dressing room tuliomba poo!msitupige nyingi..

Na kama mtu haipendi Germany ana matatizo maana ni timu yenye mafanikio na record kibao tu dunia nzima , jamaa wana record ambazo hata Brazil hatakaa azifikie kirahisi rahisi .! Jamaa wana discipline , wanacheza game safi Sana na wanajua niseme tu Germany ni mfano wa kuigwa katika soccer