Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.
Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali inayotumika kumtunza ni kubwa sana kuliko kawaida.
Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison