Siku atakayokufa watanzania watafurahi sana

Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.

Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali inayotumika kumtunza ni kubwa sana kuliko kawaida.

Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison
Naunga mkono hoja.
 
Ni mtawala gani anaelindwa kwa nguvu kubwa hapa nchini? Kuuliza sio ijinga
 
images.jpeg-103.jpg
 
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.

Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali inayotumika kumtunza ni kubwa sana kuliko kawaida.

Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison
Wewe ni mtu wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom