kwan mkuu hao faru ni binadamu?Tuwe na utofauti wa kiitikadi ila kumuombea binadamu mwenzako afe, hapana!!
hajaongelea binadamu ameongelea simba Bob JrTuwe na utofauti wa kiitikadi ila kumuombea binadamu mwenzako afe, hapana!!
Umeenda mbali, mwandishi anazungumzia wanyama pori, wewe umeelewa Nini?Tuwe na utofauti wa kiitikadi ila kumuombea binadamu mwenzako afe, hapana!!
Haha, nyie endeleeniUmeenda mbali, mwandishi anazungumzia wanyama pori, wewe umeelewa Nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Faru HADIJA.Tuwe na utofauti wa kiitikadi ila kumuombea binadamu mwenzako afe, hapana!!
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.
Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali inayotumika kumtunza ni kubwa sana kuliko kawaida.
Yote katika yote hawa wanyama jamii ya faru ni adimu sana inabidi walindwe nguvu zote wasije wakatoweka kama ilivyokuwa kwa Bison
Watasubiri sana hilo dude hapo pichani gumu sana kufa ngoja liendelee kuwakera japo watafurahi akifa.
Jiwe gizani hajatajwa mtu hapa.Tuwe na utofauti wa kiitikadi ila kumuombea binadamu mwenzako afe, hapana!!
unazungumzia faru unaweka picha ya bison, au ndiyo tutambue kuwa unaishi north america?Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.