Haya mwerevuWapi wameongelea binadamu shehe, hapo katajwa Simba, faru na bison
Binadamu ameongelewa wapi
Inaonekana watu wamevurugwa sana,NOMA SANA.
Mkuu hali s shwar kabisaaaInaonekana watu wamevurugwa sana,
Ah yatatimia tu bila shaka kabisa maana kifo sio ombi ni lazimaHahaha kaka hebu acha basi bariki maombi yetu
Bibi ๐ธ kavuruga hali ya hewaMkuu hali s shwar kabisaaa
Wapi binadamu katajwa?Tuwe na utofauti wa kiitikadi ila kumuombea binadamu mwenzako afe, hapana!!