Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu.

Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
 
Kumbe Theists wamegundua pumzi na uhai na kuepuka kifo ndio maana una ungana nao.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hata ambao sio atheist hawajaweza kwahiyo usioungane nao
 
Huo ndo mtego Muumba aliouweka kwa kutujua binadamu tuna jeuri. Mambo mengi unapangiwa bila hiyari

1. Lini uzaliwe

2. Na nani

3.Lini ufe

4. Lini ufufuliwe

Binadamu anapinga la kufufuliwa kwa kujipa moyo tu
 
Back
Top Bottom