Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Jan 30, 2024 #1 Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jan 30, 2024 #2 kwahiyo wao si wanadamu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 30, 2024 #3 Kumbe Theists wamegundua pumzi na uhai na kuepuka kifo ndio maana una ungana nao.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kumbe Theists wamegundua pumzi na uhai na kuepuka kifo ndio maana una ungana nao.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,305 Reaction score 5,355 Jan 30, 2024 #4 Hata ambao sio atheist hawajaweza kwahiyo usioungane nao
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Jan 30, 2024 #5 Huo ndo mtego Muumba aliouweka kwa kutujua binadamu tuna jeuri. Mambo mengi unapangiwa bila hiyari 1. Lini uzaliwe 2. Na nani 3.Lini ufe 4. Lini ufufuliwe Binadamu anapinga la kufufuliwa kwa kujipa moyo tu
Huo ndo mtego Muumba aliouweka kwa kutujua binadamu tuna jeuri. Mambo mengi unapangiwa bila hiyari 1. Lini uzaliwe 2. Na nani 3.Lini ufe 4. Lini ufufuliwe Binadamu anapinga la kufufuliwa kwa kujipa moyo tu