Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akaichagua ccm tena. Kwa huu ukatiri uliofanywa na hiki chama nina uhakika wakipata kura buku inabidi wajipongeze.
Watanzania tushikilie hapo hapo hadi tume huru ipatikane. Ukombozi upo njiani