watu wengi hawaipendi CCM,,, hii haimaanishi wanaipenda Chadema,,, kinaweza kujitokeza chama kingine na watu maarufu na wenye ushawishi wakajiunga nacho.Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akaichagua ccm tena. Kwa huu ukatiri uliofanywa na hiki chama nina uhakika wakipata kura buku inabidi wajipongeze.
Watanzania tushikilie hapo hapo hadi tume huru ipatikane. Ukombozi upo njiani
Yeah upo sahihi, chama ni watu. Chadema yenye uongozi wa sasa inapendwa sanawatu wengi hawaipendi CCM,,, hii haimaanishi wanaipenda Chadema,,, kinaweza kujitokeza chama kingine na watu maarufu na wenye ushawishi wakajiunga nacho.
2015 Lowasa na wenzake na sio chadema
2020 mpaka sasa ni Tundu Lissu sio chadema
Kwanini unatumia lugha ya kubembeleza 'eti siku wakiruhusu uchaguzi huru na wa haki;...hawa wanatakiwa walazimishwe kwa kutumia nguvu ya umma mpaka katiba mpya ipatikaneSiku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akaichagua ccm tena. Kwa huu ukatiri uliofanywa na hiki chama nina uhakika wakipata kura buku inabidi wajipongeze.
Watanzania tushikilie hapo hapo hadi tume huru ipatikane. Ukombozi upo njiani
Safi kabisa, hakuna cga lugha siku ccm wakikubali. Ni lazima ipatikane liwake jua inyeshe mvua.Kwanini unatumia lugha ya kubembeleza 'eti siku wakiruhusu uchaguzi huru na wa haki;...hawa wanatakiwa walazimishwe kwa kutumia nguvu ya umma mpaka katiba mpya ipatikane
Samahani boss nimekosea. Unajua haya mauaji yalishatuathiri kisaikolojia kiasi kwamba tunajisahau tunahisi kila kitu yanamilikiKwanini unatumia lugha ya kubembeleza 'eti siku wakiruhusu uchaguzi huru na wa haki;...hawa wanatakiwa walazimishwe kwa kutumia nguvu ya umma mpaka katiba mpya ipatikane
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akaichagua ccm tena. Kwa huu ukatiri uliofanywa na hiki chama nina uhakika wakipata kura buku inabidi wajipongeze.
Watanzania tushikilie hapo hapo hadi tume huru ipatikane. Ukombozi upo njiani
Kiburi cha uzima ***** weweHakuna Rais mabaga fresh Duniani.