- Thread starter
- #21
HakikaMarekani tam sana kuna California, Florida, Texas, Washington, New York, Georgia yani hata majina tu ya state zake yanaonesha kuwa hili ni dukwasha kubwa. Sasa unakuta sehemu inaitwa Gaza, Beirut, Iran yani jina tu limekaa ki shari na ki njaa utauza nini huko zaidi ya kobazi?