Siku CHADEMA wakisema wakae kimya kabisa utashangaa Serikali ya CCM wakilalamika mbona wamekaa kimya

CCM wehu.. CHADEMA ilipokuwa kwenye kifungo cha Magufuli...Chaguzi zote ndogo zilizokuwa zinaendelea kufanyika, CCM majukwaani walikuwa wakiisema CHADEMA tu.
 
Hiko ni kikundi Cha wahuni wa chache wanaoishi kwa Kodi zetu.
 
Reactions: Fbn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…