Hii ndio kazi pekee itawaokoakuuza miili
Sio wasanii tu,hata hao viongozi wa upinzani wataungana na rostam aziz na watashirikiama nae kujenga na kula nchiSahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Wanatumika kutakatisha pesa haramu ndo kazi kubwa wanawezaWasanii wengi wa bongo kinachowalipa sio music la movies biashara haramu ova
Wasanii wa TZ ni kama Wahindi, anayekuwa madarakani ndiye wanayemgeukia na kuwa chawa wake.Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Kabisa mkuu, nakubaliana na hoja.Mnawaonea bure tu.Hao watu wengi wao hawana akili njema za kuzaliwa,hawajaenda shule na hawajui kucheza na nyakati kwa usahihi.Na,jambo lingine kubwa zaidi ni njaa asilia.Kwenye njaa hakuna masikio wala macho, achilia mbali akili njema.Na, CCM wanajua kucheza na mbwa wenye njaa Kali.Mifupa tu iliyopakwa mchuzi,basi!
Kuwasema wasanii kisa wanaenda kwenye mikutano ya chama fulani si sawa hao wanafamilia kwani wanajipeleka hao wanaitwa kutoa burudani na wanalipwa wewe ukiambiwa ulipie wimbo wake huwezi lipia akija mtaani kwako ana show huendii mlitaka wafanye nn tena bora hao madem watadanga sasa je hao wakiume.Nina uhakika hata wewe hapo CCM wakupe kazi utaenda kufanya acheni nongwaSahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Wengne watajipendekeza tu kuhamia chama kingine 😅😅Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Chunguza kundi linaloitwa Samia queens halafu fuatilia maisha yaoHii ndio kazi pekee itawaokoa