Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Soma hiki kipande cha kitabu cha Eric Kabendera hapa:-
Anasema Magufuri mwenyewe alimpiga Ben Saanane risasi kwa bunduki yake baada ya kuamuru aletwe Ikulu. Kisha mwili wake ukatupwa mto Rufiji ili uwe kitoweo cha mamba wenue njaa.
 
RIP Ben Saanane.
P
 
sio rahisi kwa maisha ya sasa mtu kwenda sehemu pasipo mawasiliano, siku aliyoenda mikocheni ni namba gani za mikocheni alizokuwa akiwasiliana nazo?

gps inaonyesha mikocheni alikuwa point ipi? bar au nyumbani kwa mtu? maeneo ya mikocheni ni yaleyale mbowe hupenda kujificha au ni tofauti? inaonyesha uchunguzi uko sahibi ila taarifa iko nisunusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…