Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Tujiuliza pia, mbowe amefanya nini hadi sasa katika jitihada za kumtafuta saanane? Make hata updates tu za hili swala ni kimya kwenye chama, ina maana chama pia kilishatelekeza kumtafuta kama serikali.
Atamtoa kabla ya uchaguzi
 
Kuna sehemu kama Taifa tumekosea sana. Kosa hili litatugharimu sana, tena na tena. Ni wakati sasa tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na kikombe hiki, atuonyeshe njia ya kuyaondosha makosa yetu kwa njia salama iwezekanavyo (ikiwezekana basi kwa kafara la damu ya mwana-kondoo tu, isiwe kwa damu zetu sisi wanadamu). Azuie makosa yetu haya yasirithiwe na vizazi vyetu vijavyo; makosa yetu yatutafune wenyewe tu ila yawaache watoto wetu salama.

Kwa maono yangu naogopa mno huko nchi inakoelekea. Ni kubaya sana. Hatutatoka salama tukifika huko. Si wao viongozi, matajiri wala raia wa kawaida. Wote hatutakua salama. Tumuombe sana Mwenyezi Mungu tusifike huko.
 
Umenifungua sana kwa hizi nadharia, sikuwahi kuwaza hiyo namba 2 na namba 3, all in all hujaandika kishabiki, omeandika very objectively.
Nadharia zangu.

1. Alitekwa na ameshafariki. Na nani? Aliokuwa akiwakosoa? Sijui

2. Kajificha mwenyewe na wazazi wanaweza kuwa wanajua. Ndio maana hawajaweka msiba. Kwa nini? Sijui labda ka pre-empty mpango watu waliotaka kumteka na labda kumuua
3.. Ni afisa huyo either kamaliza kazi yake, au kaenda masomoni au kaona hatari kubwa ya maisha yake. Ni mda mrefu amekuwa akituhumiwa ni mtu asiyeeleweka na wengine kudhania yuko kikazi pamoja na kutuhumiwa kuwa alikuwa karibu na Jasusi mmoja mwanadiplomasia nguli kigogo ndani ya CCM. Na ndio maana pamoja na kugombea nafasi nyingi lakini alikuwa akikatwa kwa alichowahi kulalamika mizengwe.
 
Kwa wakati wake mungu atatoa majibu ya kweli na ukweli utafahamika tuyaache mikononi mwake
 
Alaaniwe Mbowe na genge lake. RIP saanane

Kama ni Mbowe kwanini hachukuliwi hatua zinazostahili??Usipende kuhukumu asiye na hatia.Serikali yenye vyombo huru vya usalama inalengo moja kubwa kwanza ni kulinda UHAI wa RAIA wake.Serikali katili hutumia vyombo hivyo kuua,kutesa na kuteka RAIA wanaoikosoa.

Mnaweza kutudanganya binadamu wenzetu lakini mmoja tu hamuwezi kumdanganya ni aliyetuumba.Na kwa sababu hamuogopi Mungu ndiyo sababu mnayafanya haya mnayoyafanya.

Hongereni sana
 
Tujiuliza pia, mbowe amefanya nini hadi sasa katika jitihada za kumtafuta saanane? Make hata updates tu za hili swala ni kimya kwenye chama, ina maana chama pia kilishatelekeza kumtafuta kama serikali.

Je polisi na serikali wamefanya nini mpaka sasa? Ni jukumu la serikali kutoa taarifa kuhusu Ben Saanane.
 
Sipo kujibu majungu, weka siasa pembeni kwa mambo muhimu, kumbka huyu alikuwa katibu wa Mwenyekiti, wewe unafikiri bila kutilia mkazo na uwazi na ufatiliaji kwa kuwatia kesh kesh polisi hatima ya hili swala itakuwaje? Mbowe huwa haongelei hili swala tofauti na alivyoongea mara moja kuwa vyombo vya usalama vinashughulikia, ni mwaka sasa.
hivi unataka mbowe afenyeje? kuwa specific afanye kitu gani?
 
Kwa maelezo haya naamini wakija Scotland Yard au CIA ndani ya masaa 24 watatoa mwelekeo!
Sio kwamba siviamini vyombo vyetu vya uchunguzi lakini ni kutokana na ukweli kwamba sasa mwaka umeisha bila kujua kilichomtokea Mtanzania huyu.

Scotland Yard sawa ila CIA hapana....ujifunze kidogo kuhusu mambo ya intelejensia...CIA hawawezi kufanya shughuli hiyo..CIA hufanya kazi kwa kutojulikana....ila pengine una maana ya FBI, hapo sawa...tuko pamoja Ndugu????
 
Tujiuliza pia, mbowe amefanya nini hadi sasa katika jitihada za kumtafuta saanane? Make hata updates tu za hili swala ni kimya kwenye chama, ina maana chama pia kilishatelekeza kumtafuta kama serikali.
Hivi watu wanaozusha nadharia mbalimbali ili kuwapoteza watu katika kuwajua wahalifu wanafanya hivyo kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom