Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Weekend yupo NyumbaniBeira baby boy shule si ndo zimefunguliwa vipi tena?
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16], ilimu ya kukosa ada hiyoo[emoji81][emoji75][emoji81][emoji75][emoji81][emoji75][emoji75][emoji81][emoji75]Ndio umeandika nini hiki
Me ndo maana huwa nawashauri kama unaona mtu anakuboa kasikilize unaedhani ni mkalimashabiki wa hip hope wengi awanaga pesa ...zakulipia kiingilio cha kucheck show...pia hata kwenda YouTube kuview video wanashindwa ...ila kulalamika wanaongoza eti wanataka ngumu.
Sio kweliTatizo wakiimba utumbo ili kulifuata soko mnaponda, wakiimba vitu vya maana vya kuelimisha hamsapotiii mnaishia kusifia sifia tu, mashabiki wa Hip Hop ni wanafiki.
Kwenye HIP HOP ya bongo, mashabiki ndo fake, ila wasanii wako REAL. HOOOOOVA
Ukweli ni upi mkuuSio kweli
Hizo helmet za kike zikoje mkuu, je zinaumbo kama hizi za pikipik au?Fid q.....Hip hope ishamshinda...Anapaka poda siku hizi...pia....Anavaa Wigi....pia amehanza nakubana pua...../Lakin Johmakin....Ana helment za kike.
hahaha hata Mimi nimeshangaa hizo helmet za kike zikojeMkuu, hizi ni kama zile za bodaboda?
mbona Nikki 2 alishasema hataki kaziHao jamaa muziki umewashinda watafute ajira nyingine
vyuma vimekaza sasa na wasanii wakikaza sana mashairi yao watasikiliza wao wenyewe ghettoUnaingiza vp hela kwa mziki aina ya NICOME? Mara yako ya mwisho kwenda show ni lin mkuu
Helment=ElementsAna helment za kike.